Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali...
Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana...
Hi, wadau
Kuna bibi yangu anasema akimeza chakula kuna kitu kama kinamkwama kooni hiv, je ni tatzo gani hili au ni vidonda kooni?
Tafadhali naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi umu ndani nilikuwa naomba ushauri dawa ya kuongeza maumbile ya kiume aina matatizo labda kupunguza uwezo wa sex kitandani
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa za uzushi zinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa maambukizi kwasababu jamii inaweza kuwa imepotoshwa kuhusu njia za kujikinga
Kuongeza taharuki na sintofahamu katika jamii. Hofu...
Neno ''depression'' limetafsiriwa katika maana nyingi katika lugha ya kiswahili, wakati mwingine hutafsiriwa kama msongo wa mawazo, huzuni au shinikizo la damu. Lakini maana halisi ya depression...
Wakuu habari za asubuhi,
Acha niende direct kwa mada. Binafsi masuala ya Biology yalipita pembeni hivyo naomba kujua hili jambo.
Wanaume wanaotoa sperm au shahawa nyepesi ni wana matatizo ya...
Kwa hapa Tanzania bado tunapima JOTO
Kutokea Januari 1 mpaka sasa zaidi ya wasafiri milioni 1.8 wamefanyiwa ukaguzi kwa kupimwa joto la mwili katika vituo vya mipaka 27 ikiwemo viwanja vya...
Habarini, ndugu zangu.
Mnamo mwaka 2014 nilifanyiwa opperation ya Appendix, kidonda kilipona haraka haraka pasipo kupata maumivu yoyote,
Tokea mwaka huo 2014 hadi sasa ni miaka 3 sasa,
Ila...
Should more of us wear face masks to help slow the spread of coronavirus?
This question is to be assessed by a panel of advisers to the World Health Organization (WHO).
The group will weigh up...
Heshima kwenu waheshimiwa.
Nauleta huu uzi kwa kujua na kuheshimu ukubwa wa jamii forums kuwa ina kila aina ya watu wenye vipaji, maarifa na karama na vipawa mbali mbali.
Huu uzi Ni ombi kwenu...
Shirika la Afya la Umoja(WHO), limetoa ufafanuzi wa swali hilo kwa kubainisha jinsi magonjwa hayo yanavyofanana na kutofautiana
KUFANANA;👇🏿
1: Magonjwa haya yanafanana kwasababu yote huathiri...
Wapendwa tushirikishane hili kama kuna mmoja wetu alishawahi kukutana nalo.
Nilienda hospitali ya serikali kwa ajili ya matibabu, baada ya kuingia kwa Daktari cha kushangaza nilikuta Daktari...
Virusi vya corona vinaweza kumuathiri yeyote, lakini watu wenye matatizo ya kiafya na wazee wanadhaniwa kuwa katika hatari ya kuathirika zaidi na dalili zake.
Ikiwa una ugonjwa wa muda mrefu...
Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye...
Mvulana huyo alipimwa na kuthibitika kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus na familia yake ikieleza kuwa Mtoto wao hakuwa akisumbuliwa na magonjwa mengine
Kijana huyo anakuwa Muingereza wa kwanza...
Mwanangu mwenye umri wa miezi 9 anakojoa mkojo wa njano kiasi kwamba anaweka rangi ya njano iliyofifia kwenye bukta nyeupe anayovaa...
Na mkojo wenyewe watoa harufu kali sana ya mkojo...!
Je...
For about 100 years, the scientifi c community has repeatedly changed its collective mind over what viruses are. First seen as poisons, then as life-forms, then biological chemicals, viruses today...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.