Kutokwa na ute ute angavu wakati wa haja ndogo

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,457
2,435
Habarini JF Doctors!

Nimekuwa natokwa na ute ute angavu (kama maji maji) unaovutika pale ninapoenda haja ndogo. Yapo kama ule ute unaotoka pale mwili unaposisimka sana kihisia mnapokuwa mnaandaana katika mahaba.

Mara nyingi huo ute ute unatoka mwishoni na mara chache mwanzoni.

Hali hii huwa haitokei kila siku bali ni mara chache chache sana.

Je, hii huletwa na nini? Ni tatizo (ugonjwa) au?

Msaada tafadhali.
 
Si kweli mkuu cuz nina girlfriend na huwa tunakutana mara kw mara.

Huenda mnakutana kupiga stori, mie nakushauri mkutane umnyanduane kisawa sawa mpaka aseme imetosha. Tatizo mnajidai eti nasubiri hadi ndoa wakati pembeni mnanyandua mademu za watu. Nakushauri ukutane na demu wako mnyanduane ikiwezana usiku mzima.

Msukuma mstarabu
 
Habarini JF Doctors!

Nimekuwa natokwa na ute ute angavu (kama maji maji) unaovutika pale ninapoenda haja ndogo. Yapo kama ule ute unaotoka pale mwili unaposisimka sana kihisia mnapokuwa mnaandaana katika mahaba.

Mara nyingi huo ute ute unatoka mwishoni na mara chache mwanzoni.

Hali hii huwa haitokei kila siku bali ni mara chache chache sana.

Je, hii huletwa na nini? Ni tatizo (ugonjwa) au?

Msaada tafadhali.
Vipi mzee huwa hauna utaratibu wa kuangalia zile video za makubwa wakilia?
 
Mileage said:
Vipi mzee huwa huna ule utaratibu wa kuangalia zile video za wakubwa wakilia?
Unamaanisha porn? Hapana kwa kweli, nina miaka minne sasa tangu niachane na mchezo huo.
 
Habarini JF Doctors!

Nimekuwa natokwa na ute ute angavu (kama maji maji) unaovutika pale ninapoenda haja ndogo. Yapo kama ule ute unaotoka pale mwili unaposisimka sana kihisia mnapokuwa mnaandaana katika mahaba.

Mara nyingi huo ute ute unatoka mwishoni na mara chache mwanzoni.

Hali hii huwa haitokei kila siku bali ni mara chache chache sana.

Je, hii huletwa na nini? Ni tatizo (ugonjwa) au?

Msaada tafadhali.
Jinsia yako?

kama ni wa kiume punguza kidogo nyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom