Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 392
- 529
Mimi ni kijana wa miaka 23 mimi huwa sili kabisa mayai na harufu yake nikiskia natapika.
Jana niljtoa damu Muhimbili kwa ajili ya ku save maisha ya rafiki yangu niliuliza kama na aleji nikajibu sina ila baada ya kutolewa damu nilihisi kzungu zungu sana mpka nikajikuta sijui nini kinaendelea nilipo kuja kujua nini kinaendelea huku kizungu zungu na macho kua mazito nilitapika na baada ya kutapika tu nikawa sawa.
Je, hili tatizo na siluhusiw tolea mtu damu.....