Msaada: Jinsi ya kujiondoa "Chaputa"

Aaahhh Fanya hivi kijana angu:
1. Kuwa busy na mambo yako, yaani we endelea kuwa busy tu, yaani nasema kuwa busy tu yaani. Sijui km unanielewa, yaani nasema kuwa busy for real.

Kuna namna mbili za kuwa busy: a. Kimatendo na b. Kifikra so, kuwa busy kwa zote meeeeen.

2. Kuwa mbali sana na kile kinachokusababishia hayo mambo. Yaani ikimbie haswa. Dogo sijui km unanielewa yaani toka nduki wala usitazame mara mbili

Then, baada ya muda njoo hapa na wine ya kunishukuru kumbafu sana we.
 
sasa hivi naanz kuutumia huu ushauri hapa ntarudi na najibu
 
nikufanya maamuzi tu kusema hata iweje sitafanya tena leo ndiyo mwisho,hata nisikie hamu ya aina gani, hata nikae mwenyew chumbani miaka 40 sitafanya, hata kama nina stress za aina gani sitafanya, kama nisipo fanya nitakufa acha nife lakini sito rudi nyuma
andika haya maneno kwenye karatasi nyeupe ya A4 UKISHAMALIZA ichane hiyo karatasi baada ya wiki andika tena ichane
 
Back
Top Bottom