Kurudia tendo na kudumu zaidi ya dakika 30.

jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,515
Points
2,000
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,515 2,000
Habari za asubuhi wandugu, bila kuchelewa naomba kuuliza kuwa:

1.Tendo la ndoa (sex) asili yake ni starehe au kuzaliana tu?

2.Je,sex ni lazima uende zaidi ya Mara moja ili uonekane rijali?

3.Je,kuna mnyama ambae anahusudu sex kama sisi Binadamu (anachukulia sex Kama starehe, anapimwa ushababi wake Kwa kupiga raundi 2 na kuendelea)

4.Kwanini mwanaume ukipiga bao zaidi ya moja, kiwango cha shahawa huzidi kupungua na sometimes hazitoki kabisa.Je Hiyo ni dalili ya kuwa sex ni tendo maramoja Kwa muda huo na si zaidi ya hapo?

Kiufupi Najiuliza maswali mengi ambayo yanasababisha wanaume kuwa na kutokujiamini pindi wakiwa na wanawake kitandani.

Aidha kushindwa kurudia tendo Kwa haraka, wakat ninavyofikiri Mimi ni kuwa wanaume wengi wanakuwa watumwa wa fikra za wanawake za kumpima mwanaume Kwa kiwango cha uwezo wa kudumu ndani ya tendo.

Kwa watakaoona inafaa kunitoa gizani nakaribisha mawazo yenu katika hili.
 
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
2,015
Points
2,000
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
2,015 2,000
Kwetu hatuamini ktk kumridhisha mwanamke,we piga 1,tembea kile ni kiungo cha kupitia mtoto wkt wa kujifungua, OVA
 
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
5,663
Points
2,000
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
5,663 2,000
NI MWENDO WA KUOMBANA MSAMAHA
Sisi wanaume tunawaomba msamaha wanawake wote ambao kwa namna moja ama nyingine hawaridhiki na waume zao
 
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
3,212
Points
2,000
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2019
3,212 2,000
Mkuu me bila kutomba 2hrs> naona kama siridhiki hivi kwa demu ambae nachepuka ila kwa mpenz wangu 30mins enough
 
I

inyele

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Messages
840
Points
500
I

inyele

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2017
840 500
Katafute tonge mzee, round hazikusaidii na lolote
Mimi nafikiri ukamsaidia kupata ufahamu kidogo kwenye mada yake kwani baada ya kushiba matonge makubwa ndio nafasi ya sex inachukuwa wakati wake vinginevyo shibe isiyotumika ni sawa na hakuna
 
Trimmer

Trimmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
1,264
Points
2,000
Trimmer

Trimmer

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
1,264 2,000
kama bao moja unaenda hadi zaidi ya dkk 15,, inatosha pumzika na uendelee na ratiba nyingine,,

kama bao moja umelipata chini ya dkk 8,, my brother ni bora ukarudia tena,,

hii ni kwa afya ya ndoa au mahusiano yako,,
 

Forum statistics

Threads 1,334,886
Members 512,157
Posts 32,489,890
Top