Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Nilifanya mapenzi na dada huyo siku ya Jumanne usiku. Nimeekaa Alhamisi nikaona kama nina nukta ya kovu kwenye uume na yule dada kufuatilia nikagundua ameathirika kweli.
Nikaenda kwa doctor akanipima nikawa sina virusi vya UKIMWI. Akanipa dawa aina ya PEP vidonge 30 nimeze, akasema kama ntakuwa nimeupata dawa itaweza nisaidia.
Naomba mawazo na ushauri, je ni kweli vyaweza nisaidia?