Ugonjwa huu unamsumbua mtoto, Msaada wa dawa jamani

Next Man

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
1,815
2,000
Pole Mama
Hapo ni kwa specialist tuu
Daktari wa ngozi yupo Regency hospital Dar es salaam Nimewahi Kwenda
 

lukonge

Member
Jul 31, 2015
58
125
Pole kwa kuuguliwa.
1: Mtoto ana umri gani?
2: Vinawasha hivyo vipele?
3: Wazazi kati yenu kuna mwenye mzio/allergy na chakula chochote?
4: Mtoto huyu anapewa kati ya vitu vifuatavyo: Maziwa ya ng'ombe, blue band au karanga?
Majibu hapo juu yatasaidia kukuandikia dawa na taratibu anazoweza kufanya ili hali isijirudie au toa mawasiliano ili tuweze kuwasiliana na kufahamu zaidi tatizo la mtoto.
 

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,307
2,000
Narudia tena huyo mtoto mpeleke kwa DERMATOLOGIST,

Mpeleke ili baadae usijekusema kalogwa ,

tena ikiwezekana wahi mapema zidi.
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,062
2,000
Mwanangu alikua na design Hiyo Ila Miguuni
nikapewa Erythromycin ya maji
Ndani ya wiki vikakauka yamebakia makovu madogo madogo.
 

mtzedi

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
3,526
2,000
Hakunaga kitu kinaitwa mchafuko Wa dam mjomba,hzo myth ni za zaman sana skutegemea kabisa useme hvyo
Nimekosea sawa mimi sio daktari. Huenda hakuna lakini kwa mimi ninayetibiwa kwa kutumia mizizi na magome ya miti, wazee washazoea kuita mchafuko wa damu. Kwa wataalamu kama nyie hakuna kitu kama hicho.
 
Top Bottom