SIPATI RAHA KABISA WAKATI WA KULALA USIKU.

GODWN

Member
Nov 2, 2016
34
19
Habari wakuuu..

Leo napenda kusema tatizo ambalo nakumbana nalo kilasku usiku napouchapa usingz. OK iko hiv ..

Yapata miaka mitano sasa nmekuwa nikihangaika usiku hasa wakati wa kuuchapa usingizi kwani huwa Nina shda ya mdomo kutokwa mate paspo kujijua ambayo huwa yana haruf nzito na Kali ile mbayaa na yakitua kweny shuka uspolifua ile harf ni ya kudumu inaweza kudm hata wiki nzma ndo harf inakata. Nmekuwa n mtu wa kufua kilasku had nmechoka sasa. Hii hali inanitokea sana naweza kusema kilasku inafkia wakt nakoswa confidence pale inaponilazmu kulala ugenini au pale ambapo napokuwa na papuchi usku huwa najtahd sana nisipitiwe na usngz had asbh kwa kuhofia kutokwa mate ambayo yanakera. Had naogopa na kuoa

Ingawa nilieka destur ya kuwa napga mswaki kilasku usku napotaka kulala lkn bado hali ni ileile na nikfanyahvo mate huwa yanajaa sana mdomon nikstuka usngzn.

Tafazl sn wakuu naomben mchango wa kimawazo mwenzenu.
Naomba kuwakilisha
 
ni heri pia uende kwa daktari wa kinywa na meno kuhusu harufu ya mdomo, hilo la kulala mdomo wazi na hadi mate punguza kufanya kazi ngumu za kuuchosha mwili......ikishindikana waone wataalamu wa saikolojia na ubongo.
 
Weka plastic nje ya mto na juu ya kitanda kichwani. Inaweza ikakusaidia kidogo ila muone daktari
 
Habari wakuuu..

Leo napenda kusema tatizo ambalo nakumbana nalo kilasku usiku napouchapa usingz. OK iko hiv ..

Yapata miaka mitano sasa nmekuwa nikihangaika usiku hasa wakati wa kuuchapa usingizi kwani huwa Nina shda ya mdomo kutokwa mate paspo kujijua ambayo huwa yana haruf nzito na Kali ile mbayaa na yakitua kweny shuka uspolifua ile harf ni ya kudumu inaweza kudm hata wiki nzma ndo harf inakata. Nmekuwa n mtu wa kufua kilasku had nmechoka sasa. Hii hali inanitokea sana naweza kusema kilasku inafkia wakt nakoswa confidence pale inaponilazmu kulala ugenini au pale ambapo napokuwa na papuchi usku huwa najtahd sana nisipitiwe na usngz had asbh kwa kuhofia kutokwa mate ambayo yanakera. Had naogopa na kuoa

Ingawa nilieka destur ya kuwa napga mswaki kilasku usku napotaka kulala lkn bado hali ni ileile na nikfanyahvo mate huwa yanajaa sana mdomon nikstuka usngzn.

Tafazl sn wakuu naomben mchango wa kimawazo mwenzenu.
Naomba kuwakilisha
Ogea maji ya chumvi ya mabonge kabla ya kulala.... Pia lamba ndimu kabla ya kulala
 
ni heri pia uende kwa daktari wa kinywa na meno kuhusu harufu ya mdomo, hilo la kulala mdomo wazi na hadi mate punguza kufanya kazi ngumu za kuuchosha mwili......ikishindikana waone wataalamu wa saikolojia na ubongo.

hapo mwisho umesema ukweli, mimi hua natoka mate pia nikilala, na ninatoa sauti fulani hivi za ajabu ni kama ninaweweseka usiku, hii hari inanitesa sana, mbaya zaidi kama mara mbili nime bed wet aisee dunia hii tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku ukilala kisha ukawa unaweweseka, au kuongea ongea maneno yasio eleweka sisi watu wa Tiba mbadala tunasema utakuwa unatolewa na Wanga usiku hizo ndio dalili zake
Na asubuhi ukiamka unakuwa umechoka sana au unaona uvivu kuamka..

sio mara zote inakuwa hivyo sometimes kuna watu wana njozi za kuongea kabisa na ukimstua akiamka na kulala yena haweweseki tena
 
Usiku ukilala kisha ukawa unaweweseka, au kuongea ongea maneno yasio eleweka sisi watu wa Tiba mbadala tunasema utakuwa unatolewa na Wanga usiku hizo ndio dalili zake
Na asubuhi ukiamka unakuwa umechoka sana au unaona uvivu kuamka..

Sent using Jamii Forums mobile app

dah mkuu, unayo yasema ndiyo yananitokea kabisa, mimi sifanyi kazi ngumu lakini naamka nimechoka mno, na siku nikilala na watu room kesho yake huniambia huwa nahangaika sana usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom