Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Dada yagu ana tatizo la siku zake za hedhi kupungu,je inaweza kuwa ni ugonjwa maana, ananisumbua na mimi sielewi
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Tumeenda dispensary,tumepewa dawa imeandikwa SHETRIM nje ya box,ametumia tangu saa 9 lakini bado mtoto hanyonyi,ushauri wenu tafadhari ====== Mtoto tulimpeleka hospital tena,akagundulika kuwa na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari, Nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lakini doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lakini hadi sasa nyuzi hazijatoka. Je, nyuzi hutoka baada ya muda gani na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Asie kubali kushindwa si mshindani Asie shukuru huyo ni shetani, Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama. Niende straight kwenye mada. Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani msaada wapi ntapata huduma ya operation ya kidole tumbo?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lkn doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lkn hadi sasa nyuzi hazijatoka, Je nyuzi hutoka baada ya mda gani na hutoka...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna hili tatizo lakutoa harufu puani, Nina rafiki yangu nashindwa kumueleza kutokana na ukaribu nilionao nayeye hakika ukiakaa karibu nae anatoa harufu mbaya puani nashidwa kulewa tatizo nn...
3 Reactions
32 Replies
19K Views
Niliingia period trh29 mwezi wa 6 uwa Nina tatizo la kutokomaa kwa mayai hvo unaipelekea kuchelewa kupata hedhi, siku ya 5 ambayo ilikuwa trh 3 nilitumia dawa ya kupevusha mayai iitwayo Over mit...
1 Reactions
53 Replies
15K Views
Habari za humu ndani ndugu wataalam, Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa? Naombeni ushauri wenu tar 11/7 ni tarehe yangu ya kuingia period na huwa naumwa sana tumbo siwezi kufanya chochote, tatizo linakuja hiyo tarehe 11 ndo siku ambayo tumepanga...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Magufuli alipokuwa rais walikuwa wanazaliwa watoto wenye vipaji. Kwa mfano yule mmoja aliyekuwa wapi sinui,hodari wa hesabu ambaye hata Waziri Ndalichako alikwenda kumuona. Mwingine tena mtoto wa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hello wakuu, hasa madaktari, msaada wenu wa ushauri. My friend amenionesha huu ugonjwa wa ngozi kwa picha akauliza kwa nini imetokea hivyo nikashindwa kujua shida ni nini na afanye nini ili hali...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
HAPANA shaka kuwa wanawake ni moja ya makundi muhimu katika jamii yetu. Mwanamke ni mama, na ndiye kiumbe pekee ambaye hufanya kazi ya kuleta uhai duniani. Lakini mwanamke huyu hivi sasa yu...
0 Reactions
132 Replies
90K Views
Mke wangu ni mjamzito na yupo hatua za mwisho Nurse alimwambia atajifungua tareh 10 hadi leo tareh 12 kitu ni bila bila sasa leo ananiambia kuna viuchafu kidogo huwa vinamtoka tena anadai tokea...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
UPUNGUFU WA DAMU KIPINDI CHA UJAUZITO (ANAEMIA IN PREGNACY) Upungufu wa damu (anaemia) hutafsiriwa kama kupungua kwa kiwango cha hemoglobin katika damu damu chini ya kiwango kinachokubalika...
3 Reactions
4 Replies
15K Views
Back
Top Bottom