PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,074
- 1,855
Tumeenda dispensary,tumepewa dawa imeandikwa SHETRIM nje ya box,ametumia tangu saa 9 lakini bado mtoto hanyonyi,ushauri wenu tafadhari
======
Mtoto tulimpeleka hospital tena,akagundulika kuwa na homa ya manjano,mpaka sasa anaendelea na tiba japo kunyonya hawezi mpaka akamuliwe maziwa, kidogo inatia matumaini maana jana alikuwa hawezi fungua macho kwasababu ya usingizi,leo kidogo anafumbua macho japo manjano bado yanaonekana.Bado amelezwa mpaka sasa

Last edited: