Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wanajamvi. Mchumba wangu ana tatizo la tumbo la chini kuvuta(chini ya kitovu). Amepima magonjwa ya ngono, magonjwa ya mkojo na mimba vyote ikawa hana. Namuonea Sana huruma anavyopata...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana zengwe! Natumaini mpo poaa kabisa, na wazima wa afya tele! mimi sio mwandishi mzur ilaa naamini ujembe wangu utawafikiaa na watu watachangia. kwa nn siku hizi watu wana shida ya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu kwema? Nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhakari kusinyaa sana na kuwa kama wa mtoto mdogo. Naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vibaya kuiona hii hali. Msaada...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe ameweka wazi kuwa ugonjwa wa Saratani unaweza kutibika endapo mgonjwa ataanza kupata matibabu mapema baada ya kugundulika ana ugonjwa huo. Kauli hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Mtoto wangu ana hivi viupele(kwenye picha) kama miezi 7 sasa, viko mkononi, miguuni na mzunguko wa macho kidogo, nilimpelekea Hospital ya regency nikijua Dk atanipania ni allergy hani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna ishu inanisumbua hapa,mwanangu anapata shida ya kunya , akitoa choo kinatoka kigumu sana kinamuumiza analia na wakati mwingine kinatoka na damu, pia anakula ila anaweza kupata choo baada ya...
0 Reactions
6 Replies
38K Views
Niseme wazi hii tulielezwa na watalamu wa Afya ila wa kanisa fulani sitalitaja jina, ni miaka mingi nyuma kidogo nikiwa Form 6 wakati huo. Vidonge au Sindano za Uzazi wa mpango zina side effect...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wadau polen na majukum nimeona Mimi kama kijana niwatoe hofu vijana wenzangu kua Si kwel kua Punyeto hupunguza nguvu za kiume Bali huimarisha misuli ya Uume na kuufanya uume kua imara Mpaka...
6 Reactions
52 Replies
14K Views
#UNAELEWA NINI KUHUSU TEZI DUME?... , je unajua kati ya wanaume 100 wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wana tatizo LA Kansa ya tezi dume (BPH) .... Tezi dume ni nini?[emoji734] Na Kansa ya tezi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni mjamzito wa wiki 24 kwa sasa naona kuna hali ambayo inanikuta sasa sijui ni kawaida au lah,Mimi nakosa hamu ya kula vitu vyote yani sina hamu ya kula chochote na kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habar wana jf na wataalam wa afya kwa ujumla. Nina mgonjwa kwa miezi 3 amekuwa akigugumia maumivu bega la upande wa kulia. Naomba ushauri wenu please kwani nimejaribu sana kumpa mazoezi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo nimepima presha nimepata katika vituo vitatu tofauti majibu yamekuja tofauti tofauti. Cha kwanza ilikuja 152/80/67 nikamwomba arudie ikaja 146/79/68. Nikenda kituo cha pili nilipata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa kutengeneza HPI kwa mgonjwa mwenye kidonda/ anayevuja damu kama una mfano wa hiyo kesi naomba. Asante.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada tafadhali nimekua na tatizo la uvimbe kwenye kwapa kwa muda wa miezi mitatu sasa bila ya kujua tatizo nini au nasumbuliwa na ugonjwa gani ila sijisikii maumivu ya aina yeyote ila...
4 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari Doctors naomba msaada wenu, Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu. Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello!! Wadau sekta ya afya Naomba nipate msaada wa kupata vifaa hivi au vinapatikana pharmacy gani haswa Dar es Salaam CENTRAL LINE CATHETER 7Fr, 16cm CENTROVENOUS CATHETER.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Linatikiska kwa Mbali na Daktari kasema haling'oleki.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salam wakuu, Nimekutana na report iliyoandaliwa na watafiti wa Kitivo cha Elimu ya Viumbe: Afya ya Uzazi ya University of Minesotta, ikielezea maumbile madogo ya kiume ni moja kati ya sababu...
6 Reactions
95 Replies
64K Views
Back
Top Bottom