linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Niliingia period trh29 mwezi wa 6 uwa Nina tatizo la kutokomaa kwa mayai hvo unaipelekea kuchelewa kupata hedhi, siku ya 5 ambayo ilikuwa trh 3 nilitumia dawa ya kupevusha mayai iitwayo Over mit maana natafuta mtoto.
Niliandikiwa kumeza vidonge viwili kila siku usiku kwa mjibu wa doctor aliniambia kama ulisha wahi kuvitumia kwa kumeza kimoja kimoja na hukusaidika basi sasa hv meza viwili muda wa kulala nilifanya hvo kwa muda wa siku 5.
Lakini cha kushangaza sasa hv upande wa kulia na kushoto chini ya kitovu pamevimba nikama kuna kitu kimevimba kwa ndan na panauma hasa nikibanwa na mkojo kidgo tu naumia unakuta panavuta kwa maumivu kwa Dr doctor ebu nisaidieni jamani.

MREJESHO BAADA YA KWENDA HOSPITALI
---Hzo hapo dawa nilizo andikiwaView attachment 1511972
Habarini wanajamvi nimerudi tena, kwanza niwashkru walio nishauri kwenda hospital, nimeenda na nimefanyiwa Utrasound nimektwa na uvimbe kwa ovar zote mbili..ila nimeandikiwa dawa ambazo ni hzo hapo chini. Je, zitanisaidia.
View attachment 1511960