Kutoa harufu mbaya puani

Kinnsasa1

Member
Jun 3, 2017
30
27
Kuna hili tatizo lakutoa harufu puani,

Nina rafiki yangu nashindwa kumueleza kutokana na ukaribu nilionao nayeye hakika ukiakaa karibu nae anatoa harufu mbaya puani nashidwa kulewa tatizo nn, kama kuna ayejua tatizo linasababishwa na nini na tiba yake tujuzane jamani. Asante
 
Angalia tu usije ukawa umekengeuka tu na pengine hiyo harufu inatiririka na kuserereka kutoka katika mfumo wake wa toilet ya mwilini kwake na wewe ukadhani inatokea puani.
 
Wajameni kuna hili tatizo lakutoa harufu puani
Nina rafiki yangu nashindwa kumueleza kutokana na ukaribu nilionao nayeye hakika ukiakaa karibu nae anatoa harufu mbaya puani nashidwa kulewa tatizo nn, kama kunaayejua tatizo linasababishwa nann na tiba nn tujuzane jameni, ahsante
Inategemea kama anamafua halafu mara nyingi anayavuta ndani na amekuwa nayo mda mrefu saa nyingine inaleta harufu mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom