Tatizo la siku za hedhi kupungua

Tatizo la siku za hedhi kupungua

onlyalvira

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
1,499
Reaction score
3,121
Habari wana jamii,

Dada yagu ana tatizo la siku zake za hedhi kupungu,je inaweza kuwa ni ugonjwa maana, ananisumbua na mimi sielewi
 
Sababu zinaweza kuwa izi

1. Lishe Duni
2. Uzito mdogo
3. Msongo wa mawazo
4. Kuzidisha mazoezi
5. Kubadilisha mazingira
6. Matumizi ya uzazi wa mpango
7. Uvimbe au saratani tumbo la uzazi

ajipe ameagukia kundi gani Kati ya izo sababu za kimaisha na kijamii akiwa hayupo aende hospital kupima iyo namba saba
 
Asante sana,nitamuonyesha
 
Mkuu samahni naomba kuuliza,inaweza kuleta shida kwenye kushika ujauzito??
 
Ndio inaweza kulete shida kwa kupata uja uzito anaweza asipate kabisa uja uzito. Na mimi ninaongeza kitu kimoja aende Hospitali kupima Hormone zake je zipo sawa? Hormone imbalance pia ina changia siku zake kupunguwa ande Hospitali kupima.kisha uje hapa utupe majibu yake.
 
mkuu vipi kama angekuwa anapata damu ya hedhi kupitiliza siku zake za kawaida vyanzo vingehisiwa hivyohivyo au au tofauti mkuu?
 
Sababu zinaweza kuwa hizi
1. Lishe Duni
2. Msongo wa mawazo
3 Matumizi ya uzazi wa mpango
4. Uvimbe au saratani tumbo la uzazi
5. Hormone imbalance
 
Ndio inaweza kulete shida kwa kupata uja uzito anaweza asipate kabisa uja uzito. Na mimi ninaongeza kitu kimoja aende Hospitali kupima Hormone zake je zipo sawa? Hormone imbalance pia ina changia siku zake kupunguwa ande Hospitali kupima.kisha uje hapa utupe majibu yake.
Ubarikuwe sana mkuu[emoji120]
 
Ndio inaweza kulete shida kwa kupata uja uzito anaweza asipate kabisa uja uzito. Na mimi ninaongeza kitu kimoja aende Hospitali kupima Hormone zake je zipo sawa? Hormone imbalance pia ina changia siku zake kupunguwa ande Hospitali kupima.kisha uje hapa utupe majibu yake.
Ushauri mzuri.
onlyalvira, dada anaendeleaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom