Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

Shikoloo.

Member
Nov 16, 2015
29
18
Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama ameivuta sana hadi uume umekuwa mfupi.

Je, nikipona uume wangu utarudi urefu kama zamani?
 
Utarudi Kama awali.....lkn ulichelewa wapi mzee
Kuna mila zinazingua na tohara , Ukienda kama Zambia ndo utashangaa , unaoga kwenye bafu na mababu kabisa ila wanamiliki magovi!!!
 
Back
Top Bottom