Acne and darksports solution

Fetty jr

Fetty jr

Member
Joined
Dec 17, 2018
Messages
21
Points
45
Fetty jr

Fetty jr

Member
Joined Dec 17, 2018
21 45
Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa na mabaka meupe Kama utangotango nmetumia dawa nyingi lakini bado
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
6,938
Points
2,000
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
6,938 2,000
Tumia vitu vya asili kwanza... unga wa manjano, dengu, Mdalasini, nyanya, kiazi mviringo, pia angalau mara mbili kwa wiki weka mvuke kwa uso wako... nawa uso kwa maji ya uvugu vugu na sabuni kila usiku kabla ya kulala.
 
Fetty jr

Fetty jr

Member
Joined
Dec 17, 2018
Messages
21
Points
45
Fetty jr

Fetty jr

Member
Joined Dec 17, 2018
21 45
Tumia vitu vya asili kwanza... unga wa manjano, dengu, Mdalasini, nyanya, kiazi mviringo, pia angalau mara mbili kwa wiki weka mvuke kwa uso wako... nawa uso kwa maji ya uvugu vugu na sabuni kila usiku kabla ya kulala.
Dear nimejaribu mpaka matango lakini wapi
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,799
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,799 2,000
Unataka vitu vya asili au viwandani naweza kusaidia
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,799
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,799 2,000
I need any au both maana ngozi inaharibika nikitumia dawa za allergy inarud kuwa sawa Sasa ni Bora unisaidie unavoweza
Vitu vya kuzingatia ni moja ni usafi wa uso wako na maeneo ya jirani kama shingo, hakikisha uso wako ni msafi kabla ya kuapply kitu chochote kipya na jitahidi kuosha uso sio chini aya mara mbili kwa siku(utatumia cleanser yoyote na sio soap). Kwa njia ya asili jaribu kutumia mchanganyiko wa asali na kahawa paka unapo maliza osha uso wako then 30 minutes scrub, then apply mafuta unayo itaji
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,799
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,799 2,000
I need any au both maana ngozi inaharibika nikitumia dawa za allergy inarud kuwa sawa Sasa ni Bora unisaidie unavoweza
Kwenye product za kiwandani angalia nature ya ngozi yako iko dry or oil so una apply mafuta in propotion ..lakini mara nyingi jaribu kutumia product zenye ku moisture ngozi yako nafikiri ni best

Swala la uso linaitaji muda sana
Eg of product vovi cleanser , clear an clean cleanser ,facial cleaning bar soap ,na moisture yoyote ya clear and clean
 
Fetty jr

Fetty jr

Member
Joined
Dec 17, 2018
Messages
21
Points
45
Fetty jr

Fetty jr

Member
Joined Dec 17, 2018
21 45
Kwenye product za kiwandani angalia nature ya ngozi yako iko dry or oil so una apply mafuta in propotion ..lakini mara nyingi jaribu kutumia product zenye ku moisture ngozi yako nafikiri ni best

Swala la uso linaitaji muda sana
Eg of product vovi cleanser , clear an clean cleanser ,facial cleaning bar soap ,na moisture yoyote ya clear and clean
Hapo kwenye facial cleaning bar soap ni aina gan nzuri kea sensitive skin? Maana Mimi uso wangu a bit ni oil skin though since saana
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
306
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
306 250
Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa na mabaka meupe Kama utangotango nmetumia dawa nyingi lakini bado
IF YOU CAN SUSTAIN WITHOUT APPLY ANYTHING ON YOUR FACE AFTER WASHING OR TAKING A BATH NI VYEMA KUPUNGUZA CHANGAMOTO ULIYONAYO MAANA KUWA NA CHUNUSI NI KUWA NA NGOZI YENYE MAFUTA MENGI KATI MAMBO MENGINE YANAYOSHAMIRISHA CHANGAMOTO ZA CHUNUSI, ILA KAMA UNA HALI YA KUPAUKA KAMA HUJAPAKA CHOCHOTE USONI THEN MY IDEA IS NOT A GOOD IDEA.
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,799
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,799 2,000
Hapo kwenye facial cleaning bar soap ni aina gan nzuri kea sensitive skin? Maana Mimi uso wangu a bit ni oil skin though since saana
Tumia ya clear and clean ..kingine kama utapenda fahamu usisite nijulisha

Karibu
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
2,049
Points
2,000
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2019
2,049 2,000
Tumia sabuni ya zoa zoa.. Wakati unaoga unajipaka kwanza hiyo sabuni alafu unaiacha ata dakika tano ndio uanze kujisafisha
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,501
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,501 2,000
Mimi nikioga bila kupaka kitu ngozi yangu inapauka.

Nipake aina gani ya losheni?
IF YOU CAN SUSTAIN WITHOUT APPLY ANYTHING ON YOUR FACE AFTER WASHING OR TAKING A BATH NI VYEMA KUPUNGUZA CHANGAMOTO ULIYONAYO MAANA KUWA NA CHUNUSI NI KUWA NA NGOZI YENYE MAFUTA MENGI KATI MAMBO MENGINE YANAYOSHAMIRISHA CHANGAMOTO ZA CHUNUSI, ILA KAMA UNA HALI YA KUPAUKA KAMA HUJAPAKA CHOCHOTE USONI THEN MY IDEA IS NOT A GOOD IDEA.
 
Forum statistics

Threads 1,314,977
Members 505,127
Posts 31,844,195
Top