Msaada: Napata watoto wa kiume pekee

Msaada: Napata watoto wa kiume pekee

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Asie kubali kushindwa si mshindani

Asie shukuru huyo ni shetani,

Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu.

Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama mtoto, nashukuru sana kwa hilo.

Tatizo watoto tunaozaa ni wajinsia moja tu.

Huwezi amini tumebahatika kapata watoto watatu nawote ni wakiume tu.

Binafsi nina watoto wanne, huyu mmoja ni wapenati, (Nje ya ndoa) ila naye ni wakiume.

Nashindwa kuelewa tatizo langu ni nini?

Kwa mama yangu tumezaliwa watoto 8 wakike ni mmoja tu.

Na huyo dada yangu nae ana watoto watatu wote ni wa kiume tu.

Kiukweli sio mimi tu, mpaka mama yangu hana ham hata kidogo.

Mpaka muda huu sija mpigia simu mama kumtarifu kua mkwewe kazaa, sababu najua hata shtuka, sababu watoto wakiume hana ham nao.

Kwahiyo nime kuja kwenu wakurungwa (Mlio ni zidi umri na maarifa) ni fanyaje ili na mimi nilipe DENI? (nizae mtoto wa kike?)

Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.

Nisaidieni jamani mwenzenu nimekwama.

Tulipanga na mkewangu baada ya kuzaa mimba hii (angezaliwa wa kike) tupumzike miaka 10 bila kutiana mimba, lakini naona kibarua cha kumtafuta wa kike kinaendelea.

Msaada jamani, huwezi amini mkewangu kajifungua salama lakini sio yeye wala mimi mwenye ham na mtoto.

Msaada jamani natamani kulia peke yangu, duh hata mmoja!
 
Teh teh dunia hii basi tu,wengine wanataka mtoto tu mradi anapumua, wengine wanataka wa kike tu wengine wa kiume tu

Ila huo kutokua na hali nae muwe makini isije ikapitiliza mpaka mwenyewe akaijua/akafeel kwakua hana makosa yoyote.

Kazi njema ya kumtafuta wa kukuletea mahari😂😂
 
Au huna Chromosome X!??? (Just kidding). Nadhani unahitaji katreining' kidogo. Njoo huku ICU tukusaidie.
 
Watoto wote ni sawa mkuu, Mshukuru Mungu kwa kukupa hao madume maana wataendeleza ukoo wako, kuna watu wanatamani kupata watoto wala hawapati, wewe umejaaliwa ni jambo la kumshukuru Mungu

Kibinaadamu najua kila mtu ana matamanio ya kuwa na balance ya watoto atlist jinsia zote lakini its beyond our control, Wewe pambana kuwalea hao makamanda vizuri nakuhakikishia hutojuta, watakuletea wakwe ambao ndio watakua mabinti zako
 
Asie kubali kushindwa si mshindani

Asie shukuru huyo ni shetani,

Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu.

Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama mtoto, nashukuru sana kwa hilo.

Tatizo watoto tunaozaa ni wajinsia moja tu.

Huwezi amini tumebahatika kapata watoto watatu nawote ni wakiume tu.

Binafsi nina watoto wanne, huyu mmoja ni wapenati, (Nje ya ndoa) ila naye ni wakiume.

Nashindwa kuelewa tatizo langu ni nini?

Kwa mama yangu tumezaliwa watoto 8 wakike ni mmoja tu.

Na huyo dada yangu nae ana watoto watatu wote ni wa kiume tu.

Kiukweli sio mimi tu, mpaka mama yangu hana ham hata kidogo.

Mpaka muda huu sija mpigia simu mama kumtarifu kua mkwewe kazaa, sababu najua hata shtuka, sababu watoto wakiume hana ham nao.

Kwahiyo nime kuja kwenu wakurungwa (Mlio ni zidi umri na maarifa) ni fanyaje ili na mimi nilipe DENI? (nizae mtoto wa kike?)

Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.

Nisaidieni jamani mwenzenu nimekwama.

Tulipanga na mkewangu baada ya kuzaa mimba hii (angezaliwa wa kike) tupumzike miaka 10 bila kutiana mimba, lakini naona kibarua cha kumtafuta wa kike kinaendelea.

Msaada jamani, huwezi amini mkewangu kajifungua salama lakini sio yeye wala mimi mwenye ham na mtoto.

Msaada jamani natamani kulia peke yangu, duh hata mmoja!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu nakuelewa Sana
Japo unaweza ukakufuru usipokua makini.
Mimi kwa mama angu full midume mwanzo mwisho, wakike alifariki akiwa kadogo Sana.
Binafisi na mke wangu tuna wakike wawili. Tunatafta wa tatu ila kimoyo moyo nataka awe wa kiume. Sema sijatia maanani sana namhofia Mungu.

Ilaaaa, km vipi njoo tubadilishane mi nna warembo wa wili 😜
 
Mkuu hiyo kawaida
Me nyumbani tumezaliwa wa kiume wote tupo 6
Me mwenyewe Mke wangu kanizalia mtoto wa kiume na brother wangu 2 wote wamezaa watoto wa kiume na hivyo mama yangu Hana mjukuu wa kike ni mwendo wa madume labda itokee mbeleni.
 
Mshukuru Mungu kwa yote! Kuna wenzio pia nao kila wakilenga ni wa kike tu...
Ungenisaidia njia ya kupata mtoto wa kike ingekua vizuri zaidi, kuliko kuniambia nishukuru tu.
 
Mimi nina watoto 10 (mama tofauti) wote wa kiume na siringi.
Ukitaka kuringa pakaa shedo na wanja, kisha vaa suruali yenye zipu nyuma alafu katiza mitaa ya kwa Sokota, utakipata unacho kitaka.
 
Uko machimboni hamjawahi kutoa sadaka mtoto wa kike?
Acha ujinga kadogooh.
Kwanza mambo haya ni kwa wa kubwa tu, we mtoto chukua viombo ukaoshe.

Mtu hata mtoto wa kusingiziwa huna, unataka kujadili mambo haya, kweli?
 
Asie kubali kushindwa si mshindani

Asie shukuru huyo ni shetani,

Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu.

Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama mtoto, nashukuru sana kwa hilo.

Tatizo watoto tunaozaa ni wajinsia moja tu.

Huwezi amini tumebahatika kapata watoto watatu nawote ni wakiume tu.

Binafsi nina watoto wanne, huyu mmoja ni wapenati, (Nje ya ndoa) ila naye ni wakiume.

Nashindwa kuelewa tatizo langu ni nini?

Kwa mama yangu tumezaliwa watoto 8 wakike ni mmoja tu.

Na huyo dada yangu nae ana watoto watatu wote ni wa kiume tu.

Kiukweli sio mimi tu, mpaka mama yangu hana ham hata kidogo.

Mpaka muda huu sija mpigia simu mama kumtarifu kua mkwewe kazaa, sababu najua hata shtuka, sababu watoto wakiume hana ham nao.

Kwahiyo nime kuja kwenu wakurungwa (Mlio ni zidi umri na maarifa) ni fanyaje ili na mimi nilipe DENI? (nizae mtoto wa kike?)

Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.

Nisaidieni jamani mwenzenu nimekwama.

Tulipanga na mkewangu baada ya kuzaa mimba hii (angezaliwa wa kike) tupumzike miaka 10 bila kutiana mimba, lakini naona kibarua cha kumtafuta wa kike kinaendelea.

Msaada jamani, huwezi amini mkewangu kajifungua salama lakini sio yeye wala mimi mwenye ham na mtoto.

Msaada jamani natamani kulia peke yangu, duh hata mmoja!
Wakati unalia lia tembelea page ya counsillor salaah uone 😅😅😅 hili tatizo sio kwako tu sema jamaa kitachomsaidia ana hela ila vinginevyo kina prince dully sykes wangeweza kumtia simanzi mapema sana😅😅😅
 
Back
Top Bottom