Habari mkuu,
Nimebahatika kupata mtoto wa kike mrembo kweli kweli, lakini mpaka Sasa ana miezi 10 lkn ukimwangalia ni kama anamiezi 5.
Bado hajakaza kukaa vizuri, akikaa kwa muda anaanguka...
Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo
Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote
Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo
Husababisha maumivu...
Habari wana jf,
Naomba msaada wa dawa ya kutibu vidonda vimejitokeza kwenye ulimi kwa sasa vina wiki 3 nimetumia dawa ya amplicox nikapata nafuu ila vikarudi tena, vinauma sana ukinywa chai au...
Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi.
Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa...
Ndugu zangu nawasalimu nyote.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito.
Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na...
Habari za usiku wapendwa Wana jf,
Jaman nasumbuliwa na allergy isiyoisha nimetokwa na vipele baadhi ya sehemu za mwili na vinawasha sana. Nimeenda hosp nikapimwa kweli nikakutwa na allergy ya...
Jamani hapa, ninajisikia kama kufa kabisa, ijumaa nilienda kuweka kambi kwenye pori moja kwa muda wa siku 2, kulikuwepo na mbu sijapata ona, niling'atwa si kawaida kusema kweli haraka...
Habari zenu wakuu nilikuwa nauliza creatine monohydrate inafaa kwa kujaza body kwa mimi mtu mwembamba maana upper body imeisha sana nilianza gym lakini sijai wala nini hivi hizi supplement (poda)...
Salam wana bodi,
Serikali imetutangazia na inaendelea kututangazia kuwa huduma ya mtoto chini ya miaka mitano ni bure ingawa sehemu kubwa ya watoto hutozwa pesa hasa wanapopewa huduma hizo kwenye...
Wakubwa naomba mnifunze kitu hapa, nimekuwa nikisikia kuwa unywaji wa maji wakati unakula au mara baada ya kula sio mzuri. Inasemekana unahitajika kupumzika walau saa moja kisha ndo unywe maji...
Mara nyingi napomnyonyesha anakuwa akipaliwa,na hapo wala simkamulii maziwa zaidi ya kumshikia tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana,
mimi tu mama...
Unajua madhara unayoweza kuyapata endapo utachangia taulo mmoja na mtu mwingine? Usikubali kutumia taulo moja na mtu mwingine hata kama ni familia yako, ni hatari kwa afya, wataalamu wa afya...
Wakuu habari.
Nimeona mara nyingi watu huchoma udi maduka majumbani mwao, najiuliza ni kwa sababu zipi, zina faida gani na kuna aina ngapi za udi maana harufu hutofautiana.
Asanteni.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Mtoto anapaswa kuanza kunyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa hii husaidia maziwa ya mama kuweza kutengenezwa kwakuwa mtoto anapowekwa kwenye kifua...
Wataalamu wa Afya wanasema baada ya kutumia mswaki wadudu hubaki kwenye mswaki hivyo ni muhimu kutumia maji moto unapotaka kuutumia tena.
Kiusafi haishauriwi kuchemsha mswaki ili kuua wadudu...
Habari za majukumu wapendwa wana JF,
Mimi nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja, kulikopelekea sehemu hiyo kuwa nyeusi sana.
Fangasi hizo haziwashi bali zinakuwa kama...
Habari za usiku huu wana jamvi, poleni na uchovu wa pilika pilika za kutwa nzima ,
Mtaniwia radhi jamani kwa hiki nachokisema hapa, huwenda baadhi ya watu wakanielewa na wengine wasilinielewe...
Habari wadau,
Nahitaji nipate ushauri wa mawazo na wakitaalam pia juu ya hili jambo ambalo linaniumiza kichwa.
Nipo katika mahusiano na msichana takriban miezi 3 sasa gheto anakuja vzr ila kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.