Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia...
0 Reactions
5 Replies
633 Views
Habari wana jf, juzi kuna uzi ulipostiwa kuhusu sindano ya anti d, ila maelezo yalikuwa tofauti na nilivyoambiwa na dr. Maana shemeji yenu inabidi apate sindano hii mwezi huu ikiwa ni uzao wetu wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Miaka hii hii na ijayo uzazi kwa vijana umepungua sana,vijana au hawapendi kuzaa au imekuwa tabu.manake hata akina dada nao hawapati watoto nini tabu?wanaume sasa hawana nguvu za kiume imekuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habarin wanajukwaa Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yapata mwezi mmoja na nusu uliopita nilipata ajali ya bodaboda na kuvunjika mguu wa kushoto mara mbili yani mfupa wa nyuma na mbele na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu wana Jf Mnamo wiki moja iliyopita nilihisi kupata GONORRHEA na kupata ushauri wa kitabibu na mwishowe nikapata dawa za AZUMA kutibu ugonjwa huo Nimemeza dawa kwa siku sita sasa...
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari zenu members wa Jf, Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila...
1 Reactions
26 Replies
15K Views
Utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini umewaibua wataalamu wa afya kuendesha utafiti ili kubaini chanzo cha tofauti hizo na kupima ufanisi wa chanjo katika maeneo hayo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nakuja kwenu nikiomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupakua cheti cha uviko 19 baada ya kupata chanjo na kupewa ile kadi ya kumbukumbu ila bado sijapata kile cha kidigitali naomba msaada wa...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Habarini wadau, Kama wiki sasa nimepata hili tatizo la miguu kufa ganzi, wa kushoto ndio sana mpaka sasa nakuwa siu feel kwa kiasi kikubwa, nikajua itaenda ikipungua ila naona ipo same au kama...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kutokana na matukio mfululizo wa mengi ya unyanyasaji wa kijinsia hasa ubakaji na ulawiti kuendelea kuripotiwa, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichalwe anafafanua matukio hayo kitabibu...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
UTI sina, Kisukari sina, (majibu ya vipimo mara kwa mara) Kwa nini napokunywa kinywaji maji au juice kidogo tu napata haja kali ya kukojoa, na kuvumilia inakuwa ngumu na changamoto zaidi. Pia...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Habar wanajf me naomba niwasilishe tatizo langu hua kuna tatizo la kuona kama ukungu linanitokeaga but linachukua wiki tatu mpaka mwezi , hua baada ya kuona ukungu kwa takriban dakika 10-15 macho...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Wanasayansi wamesema aina hiyo mpya ya matibabu ya Saratani ambayo hutumia Virusi vya kawaida kuambukiza na kuharibu Seli Hatari imeonesha ufanisi mkubwa kwa wagonjwa. Wagonjwa 40 wamefanyiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto. Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji. Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Tetanus (Pepopunda) ni ugonjwa unaosababishwa na sumu inayotokana na maambukizi ya bakteria wanaoitwa Clostridium tetani ambao hupatikana kwa wingi kwenye ardhi, vumbi na vinyesi vya wanyama...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Hili ndilo zoezi (jogging) langu nililofanya leo. Mazoezi kwa afya. Karibu tuimarishe afya kwa kufanya mazoezi.
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Habari za saa hizi wanajamvi! Nimekuwa nikisumbuliwa na rushes, matango tango kwa muda mrefu sasa, nimewahi kutumia Gentilene na dawa nyingine za kupaka but sijaona improvement yoyote, naombeni...
0 Reactions
11 Replies
19K Views
Back
Top Bottom