Sindano ya Anti D

MKONO MTUPU

New Member
Sep 17, 2022
3
1
Habari wana jf, juzi kuna uzi ulipostiwa kuhusu sindano ya anti d, ila maelezo yalikuwa tofauti na nilivyoambiwa na dr. Maana shemeji yenu inabidi apate sindano hii mwezi huu ikiwa ni uzao wetu wa pili.

Dr. Maelezo yake yalikuwa kwamba mimba ikifikisha miezi saba ( within 7th month_kwa ajili ya mtoto aliyetumboni) inabidi apate sindano ile na baada ya kujifungua inabidi apate ya pili ndani ya masaa 72 kwa ajili ya kinga ya mamaa kwa uzao unaofuata,

Ila kwenye uzi ule maelezo ni kwamba apate hiyo sindano mimba ikifika wiki 28 approximately miezi saba au baada ya kujifungua ndani ya masaa 72.
NENO AU linaiminisha sindano iwe moja ya miezi saba au ndani ya masaa 72 baada ya kujifungua, hapo ndo nimeachwa bila kuelewa
Naomba wataalamu kueleweshwa zaidi kuhusu hili...

Huzi ule uliwekwa na jamaa huyu Sildenafil Citrate
 
Habari!

Neno AU lilitumika kimakosa na kuleta utata hapo, naweza kuweka kwa mtindo huu: AU NA SAA 72 BAADA YA KUJIFUNGUA.

Kwa msingi wa kwamba:
1: Wiki ya 28 ili kumkinga mtoto aliyeko tumboni.
2: Ndani ya saa 72 baada ya kujifungua, ili kulinda ujauzito ujao.

LAKINI:
Kwa maeneo yenye uwezo na vitendea kazi, mtoto aliyezaliwa hupimwa group la damu na maamzi kufanyika:

1: Kama group la mtoto ni positive- anti D itatolewa ndani ya saa 72 baada ya kujifungua.

2: Kama group ni negative-anti D haitatolewa.

3; Wengine hutoa bila kupima group la mtoto.

Hivyo, anatakiwa kupewa anti D mara mbili au moja kulingana na mazingira na group la damu la mtoto aliyezaliwa.
 
Nimekulewa
 
Back
Top Bottom