Nimetumia AZUMA lakini sioni mabadiliko

Nimetumia AZUMA lakini sioni mabadiliko

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
127
Reaction score
82
Habari ndugu wana Jf

Mnamo wiki moja iliyopita nilihisi kupata GONORRHEA na kupata ushauri wa kitabibu na mwishowe nikapata dawa za AZUMA kutibu ugonjwa huo

Nimemeza dawa kwa siku sita sasa (1x6), dozi imeisha lakini sioni mabadiliko

Naomba ushauri wakuu
 
Mkuu hakuna Ugonjwa unaotibiwa kwa kuhisiwa tuu , nenda kapimwe kwanza pengne tatazo cyo ilo unalohisi .
 
Kuna watu hawajipendi
Huu ugonjwa inawapata sna watu wasiopenda kutumia ndomu Kuna jamaa angu ameugua basi yey akawa ananiambia as if kwamba mm pia niliwai kuwa kuugua Basi nikakadanganya kuwa Hata mm niliwai ugua huu ugonjwa bas akapata faraja sna ndio anaanza kuniaadidhia mpka demu aliyetembea nae Hadi kupat ugonjwa huuo
Bas akawaanuliza kuwa umetumia dawa gani na ukapona nikamumbia aise Ni dkt wangu moja ndio alinipa kumbe wala mm siajawai uguwa huu ugonjwa nauogopa mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa mtu anaugua hlf anaomba ushauri Street kwa ugonjwa serious kiasi hicho. Si aende hospitali kwanza?
 
Nenda hospital mkuu utapata matibabu kamili aidha sindano au vidonge kulingana na ukubwa wa tatizo. Unavyozidi kuichelewa tatizo linakuwa kubwa zaidi.
 
Hospitali nilienda nikapewa Azuma
 
Nashangaa mtu anaugua hlf anaomba ushauri Street kwa ugonjwa serious kiasi hicho. Si aende hospitali kwanza?
Hospitali nilienda bro ila dawa nilipata nikatumia na imeisha sioni mabadiliko
 
Ahsante kwa ushauri mzuri
Ila naomba kuuliza tena

Je nitumie tena kwa pamoja AZUMA+cefixime au
Cefixime pekee kwa maana nimeshatumia AZUMA 1*6!?

Au hakuna tatizo nitumie tu upya AZUMA na cefixime!
Zinaenda sambamba. Yaani tumia kwa pamoja.
Au ngoja aje kukazia zaidi.
 
Habari ndugu wana Jf

Mnamo wiki moja iliyopita nilihisi kupata GONORRHEA na kupata ushauri wa kitabibu na mwishowe nikapata dawa za AZUMA kutibu ugonjwa huo

Nimemeza dawa kwa siku sita sasa (1x6), dozi imeisha lakini sioni mabadiliko

Naomba ushauri wakuu
Wakati unakula kimasihara ulituomba ushauri?
 
Ahsante kwa ushauri mzuri
Ila naomba kuuliza tena

Je nitumie tena kwa pamoja AZUMA+cefixime au
Cefixime pekee kwa maana nimeshatumia AZUMA 1*6!?

Au hakuna tatizo nitumie tu upya AZUMA na cefixime!
Wee banaaa nmekuambia Tumia Kwa pamoja, hamna Cha kwakua umeshameza Azuma siku Sita basi umeze Cefx pekee.... Hautapona ng'oo.

Wadudu wa Gono wanauliwa na dozi kubwa ya azuma na dozi kubwa ya Cefx Kwa pamoja mara Moja

Fanya nilivyokushauri hapo utapona.
 
Hapo ulipo hakuna Hospitali ? Naona ni kama umeamua kubeti na afya yako...
 
Back
Top Bottom