Mwiyuzi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 854
- 452
Habari za saa hizi wanajamvi!
Nimekuwa nikisumbuliwa na rushes, matango tango kwa muda mrefu sasa, nimewahi kutumia Gentilene na dawa nyingine za kupaka but sijaona improvement yoyote, naombeni mnielekeze mahali ambapo ntampata daktari wa magonjwa ya ngozi.
Natanguliza shukrani!