Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari! Kuna jambo naomba kujua.Je,wanawake nao hawakutani na tatizo la nguvu za kike? Naomba kujua.
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Salamu ziwe nanyi wakuu. Tuzungumzie mambo machache mawili Leo kiufupi sana. a) Nguvu za kiume na B) Mjomba kusimama. Na urefu wake (Perfect penile erection) A) NGUVU ZA KIUME Ni uwezo wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumai wote ni wazima Nilizaliwa upande mmoja wa sikio kwa juu nje kuko na kitobo Kama mtu aliyetobolewa kwa ndani ivi natumai mlishakutana na aina ya watu Kama hao wengine wanakua ni pande...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022. Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina maana mbaya saana. Bali ninataka tu kuwafunguwa macho kidogo wenzangu wa africa. Magonjwa yapo kweli duniani. Lakini sio kwamba kila ugonjwa unao semwa upo au hauna dawa mengine ni biashara...
2 Reactions
6 Replies
602 Views
MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo. Hayo...
1 Reactions
4 Replies
921 Views
Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Wataalam wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka Nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Mkurugenzi wa Tiba katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Ni hali ya kawaida au shida ni nini? Kuna muda moyo unakwenda kasi na mishipa inadunda naiskia hadi kwenye vidole. Pia na mishipa ya kichwani naiskia inadunda mara kwa mara pasipo maumivu yoyote...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hi, naomba kuelimishwa je kuna madhara gani ya kulala kifudifudi ama kulalia tumbo. mimi huwa napenda sana kulala kifudifudi. Naenjoy sana kulala hvo na huwa napata usingizi mtamuuu! nilisikia...
1 Reactions
10 Replies
13K Views
Nina mpenzi wangu huwa mara nyingi ninaposex nae analalamika kwamba anaumia tumbo asa sijui kwasababu nampelekea moto harakaharaka yaan nakuwa na speed wakati na sex nae au ni mkao ninaomuwekaga...
2 Reactions
9 Replies
803 Views
Kuna baadhi ya tabia hupaswa kufuatwa ili afya ya kinywa na meno iweze kubaki imara siku zote. Kwa mujibu wa Kituo Cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa cha Marekani (CDC), haya ndiyo mambo ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli.. Yaan inafikia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum. Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Mifupa huupa mwili muonekano wake halisi pamoja na kulinda baadhi ya viungo vyake. Aidha, hufanya kazi ya kutunza baadhi ya madini na virutubisho vya mwili, pia ni sehemu ambayo mwili huitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini siku hizi kuna asilimia kubwa sana ya Wanawake wanaojifungua kwa njia ya Upasuaji Je wanaomba wenyewe Au??
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mikoa ya Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na Mara iko hatarini zaidi kutokana na kuwa jirani na nchi ya Uganda ambayo imekumbwa na Virusi hivyo. Pia, ameitaja...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom