Hakuna uzazi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Miaka hii hii na ijayo uzazi kwa vijana umepungua sana,vijana au hawapendi kuzaa au imekuwa tabu.manake hata akina dada nao hawapati watoto nini tabu?wanaume sasa hawana nguvu za kiume imekuwa mjadala jadili
 
Nguvu za kiume na uwezo wa mwanaume kumtungisha mwanamke mimba ni vitu viwili tofauti...mwanaume anaweza akawa rijali kweli, mtarimbo unasimama, una nguvu, na anaenda round kadhaa, lakini manii anayotoa haina mbegu (sperm cells) za kutosha, au ni dhaifu, na hivyo hatungishi mimba. Na hili ndio tatizo kwa wanaume wengi ambao hawana uwezo wa kutungisha mimba. Tatizo huwa sio kusimamisha au kumudu round kadhaa za mechi.

Kama unaongelea uzazi kwa ujumla ni wigo mpana sana...sio wanaume tu! Mwanaume anaweza akawa hana tatizo, lakini mwanamke ana tatizo labda la kuzalishwa kwa mayai kwenye ovaries, au mayai yake ni dhaifu hata yakirutubishwa, au mirija ya mayai (fallopian tubes) imeziba, au kizazi chake (uterus) hakiwezi shikilia yai lililorutubishwa (implantation).

Ukiachilia matatizo hayo kwa mwanaume au mwanamke...siku hizi kampeni za uzazi wa mpango zimefika (naweza sema) kila sehemu, na uelewa wa watu unaongezeka kila kukicha, na hivyo kupunguza kuzaa, na hii aoutomatically inapunguza kuzaa watoto wengi (nadhani hii ndio sababu kuu). Miaka 10 iliyopita ilikuwa ni kawaida mwanamke kuwa na watoto 6, 7, 8 au hata 10....siku hizi hata vijijini hali si hiyo, na hilo linahusiana zaidi na uzazi wa mpango kuliko 'kungukiwa nguvu za kiume'!
 
Asante kwa ufafanuzi Dr. Riwa

Kuna binti namfahamu sasa ni mwaka wa 8 anatafuta mtoto hajafanikiwa kushika mimba. Kwanza aliambiwa ana fibroids, akafanyiwa upasuaji zikaondolewa, amesubiri kupata mimba lakini wapi, juzi kaambiwa uterus imetanuka mara 3 ya kawaida, ana myoma na ovaries hazionekani, kitu gani kinaweza kusababisha uterus itanuke na ovaries zisioneane? Mume wake ameambiwa yuko sawa.
 
Fibroids ni ugonjwa mmojawapo unaosababisha sana infertility. Fibroids ni vivimbe ambavyo mara nyingi huwa vingi vinavyotokea kwenye ukuta wa kizazi (uterus). Na vinaweza kuwa vikubwa kufikia saizi ya mpira wa golf, mpira wa tennis, na extreme hata saizi ya mpira wa miguu. Vikiwa vidogo ni vigumu kugundua labda mpaka daktari akuexamine au kwa ultrasound. Huwa vinajaza ile sehemu ya kizazi anayokaa mtoto, na hivyo kuzuia yai lililorutubishwa kujishikiza, na hata lililojishikiza kuna uwezekano mkubwa wa mimba kutoka.

Kuna operation mbili za kuondoa Fibroids..1. Kutoa kizazi chote (Hysterectomy), hapo tena mwanamke hawezi kuzaa maisha yake yote, mara nyingi hii hufanyika kama Fibroid ni kubwa sana, au ndogo ndogo lakini nyingi sana, na/au mwanamke mwenyewe hana mpango wa kuendelea kuzaa tena, .. 2. Kutoa hizo Fibroids tu na kuacha kizazi (Myomectomy), hii kama Fibroid ni moja au chache na si kubwa sana, hapa bado mwanamke anaweza kuendelea kuzaa.

Sasa yeye sijui alifanyiwa ipi? Ila kama alifanyiwa Myomectomy kuna uwezekano mkubwa wa Fibroids kurudi. Fibroids ni katika vivimbe ambavyo vina tabia ya kurudi rudi baada ya upasuaji. Hivyo inawezekana kutanuka huko kwa kizazi tena ni Fibroid nyingine, anaweza fanya ultrasound kuthibitisha. Ovaries....nashindwa kujua kwa uhakika, ila uwezekano mkubwa ni kuwa baada ya kutolewa kizazi mishipa ya damu inayoenda kwenye ovaries inaweza ikaharibika na hivyo ovaries kukosa damu na kunywea (ovarian atrophy)...au pia inawezeka uvimbe wa Fibroid umeblock view huyo msoma ultrsound hakuona ovaries, au overies zimenywea (ovarian atrophy) ambayo inatokea kwenye menopause, ana umri gani huyo dada?

Mshauri aende kwa Gynaecologist mzuri (narecommend Dr Kapona) wa masuala ya infertility amfanyie vipimo wagundue tatizo ni nini ili apate ushauri na/au matibabu stahiki.
 
Sasa yeye sijui alifanyiwa ipi? Ila kama alifanyiwa Myomectomy kuna uwezekano mkubwa wa Fibroids kurudi. Ovaries....nashindwa kujua kwa uhakika, ila uwezekano mkubwa ni kuwa baada ya kutolewa kizazi mishipa ya damu inayoenda kwenye ovaries inaweza ikaharibika na hivyo ovaries kukosa damu na kunywea (ovarian atrophy)...au pia inawezeka uvimbe wa Fibroid umeblock view huyo msoma ultrsound hakuona ovaries, au overies zimenywea (ovarian atrophy) ambayo inatokea kwenye menopause, ana umri gani huyo dada?

Mshauri aende kwa Gynaecologist mzuri (narecommend Dr Kapona) wa masuala ya infertility amfanyie vipimo wagundue tatizo ni nini ili apate ushauri na/au matibabu stahiki.

Asante sana Dr. Riwa, huyo dada alifanyiwa tu operation ya kuondoa uvimbe, lakini naona umerudi maana alicheck kwa ultra sound ndo akaambiwa hivyo.

Hana umru mkubwa, ana miaka 30 na ameshaonana na several gyno's... wa mwisho alimwambia labda wampandikizie mbegu, lakini kama uterus inatanuka na imetanuka 3 times size ya kawaida, unadhani hicho kiumbe kitaishi? na nini sababu ya uterus kutanuka kama uvimbe ni mdogo tu...

Recently anadai amekuwa akipata periods kidogo sana na tumbo linamuuma sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini...
 
thanks mkuu. usisahau pia umri wa kuanza kuzaa nao umeongezeka sana. wanaume wenyewe hata mkiwa na miaka 25 hamtaki majukumu hadi tuwabake,lol! na mwanamke kuanza kuzaa na umri wa miaka 28, na majukumu ya kikazi etc huwezi fikisha watoto 10 (kabla kikao cha ukoo hakijaitwa)
Miaka 10 iliyopita ilikuwa ni kawaida mwanamke kuwa na watoto 6, 7, 8 au hata 10....siku hizi hata vijijini hali si hiyo, na hilo linahusiana zaidi na uzazi wa mpango kuliko 'kungukiwa nguvu za kiume'!
 
thanks mkuu. usisahau pia umri wa kuanza kuzaa nao umeongezeka sana. wanaume wenyewe hata mkiwa na miaka 25 hamtaki majukumu hadi tuwabake,lol! na mwanamke kuanza kuzaa na umri wa miaka 28, na majukumu ya kikazi etc huwezi fikisha watoto 10 (kabla kikao cha ukoo hakijaitwa)

Thats a good one king'asti...lakini tatizo sio kukataa majukumu, bali ni kumudu majukumu! Maisha yakitulia ukaweza kumudu majukumu, huwezi kukataa. Kwa wanaume wengi, ni 'sifa' kumudu majukumu...na ni 'fedhea' kubwa kutomudu majukumu, hasa ya kifamilia. Kwa hiyo bora lawama (kuchelewa kuoa/kuzaa) kuliko fedhea!
 
watu wanazaana sana ila uzazi wa mpango na jamii kufikiri amtunzo ya watoto inafanya kukadiria idadi wa watoto ambao watawamudu kuwatunza
Miaka hii hii na ijayo uzazi kwa vijana umepungua sana,vijana au hawapendi kuzaa au imekuwa tabu.manake hata akina dada nao hawapati watoto nini tabu?wanaume sasa hawana nguvu za kiume imekuwa mjadala jadili
 
Fibroids ni ugonjwa mmojawapo unaosababisha sana infertility. Fibroids ni vivimbe ambavyo mara nyingi huwa vingi vinavyotokea kwenye ukuta wa kizazi (uterus). Na vinaweza kuwa vikubwa kufikia saizi ya mpira wa golf, mpira wa tennis, na extreme hata saizi ya mpira wa miguu. Vikiwa vidogo ni vigumu kugundua labda mpaka daktari akuexamine au kwa ultrasound. Huwa vinajaza ile sehemu ya kizazi anayokaa mtoto, na hivyo kuzuia yai lililorutubishwa kujishikiza, na hata lililojishikiza kuna uwezekano mkubwa wa mimba kutoka.

Kuna operation mbili za kuondoa Fibroids..1. Kutoa kizazi chote (Hysterectomy), hapo tena mwanamke hawezi kuzaa maisha yake yote, mara nyingi hii hufanyika kama Fibroid ni kubwa sana, au ndogo ndogo lakini nyingi sana, na/au mwanamke mwenyewe hana mpango wa kuendelea kuzaa tena, .. 2. Kutoa hizo Fibroids tu na kuacha kizazi (Myomectomy), hii kama Fibroid ni moja au chache na si kubwa sana, hapa bado mwanamke anaweza kuendelea kuzaa.

Sasa yeye sijui alifanyiwa ipi? Ila kama alifanyiwa Myomectomy kuna uwezekano mkubwa wa Fibroids kurudi. Fibroids ni katika vivimbe ambavyo vina tabia ya kurudi rudi baada ya upasuaji. Hivyo inawezekana kutanuka huko kwa kizazi tena ni Fibroid nyingine, anaweza fanya ultrasound kuthibitisha. Ovaries....nashindwa kujua kwa uhakika, ila uwezekano mkubwa ni kuwa baada ya kutolewa kizazi mishipa ya damu inayoenda kwenye ovaries inaweza ikaharibika na hivyo ovaries kukosa damu na kunywea (ovarian atrophy)...au pia inawezeka uvimbe wa Fibroid umeblock view huyo msoma ultrsound hakuona ovaries, au overies zimenywea (ovarian atrophy) ambayo inatokea kwenye menopause, ana umri gani huyo dada?

Mshauri aende kwa Gynaecologist mzuri (narecommend Dr Kapona) wa masuala ya infertility amfanyie vipimo wagundue tatizo ni nini ili apate ushauri na/au matibabu stahiki.
Nimejifunza kitu Asante sana ..... Ila umishafanyiwa opereshen ya mayoma yanaweza KURUDI kwa muda gani tena
 
Huu Uzi wa 2011

Anyway, sisi huku kwetu Ward za wazazi zimejaa hadi wengi wanajifungulia chini.
 
Back
Top Bottom