Mzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na...
Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030...
KIFADURO
Kifaduro ni ugonjwa unaoambukiza, husababishwa na vimelea vya bakteria wanaoitwa Bordetella pertussis. Huenezwa kwa njia ya hewa na huwapata hasa watoto wenye umri wa chini ya mwaka...
Ndugu wataalamu wa afya na wanajamvi kwa ujumla, nianze kwa salaam.
Kama tunavyojua kuwa mama mjamzito akiwa katika hatua za mwisho kukaribia kujifungua, wataalam wa afya huwa wanapima njia ya...
Habari zenu wana jf,
Nimetokwa na vipele vinavyotunga usaha mwepesi baada Ya kunyoa kwa hivi vidude vya plastic na wembe wengi tunaviita gilleti, ninapooga navisugua vinaishia nimejaribu kupaka...
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima...
Habari zenu wana jukwaa
Nilipata tatizo la mguu baada ya kudondoka na nilipoenda hospital nikapigwa X-ray kisha doctor akanambia kwamba nimevunjika mfupa mdogo ambao haubebi uzito kisha palepale...
Magonjwa ya kuhara husababishwa na vimelea vya aina mbalimbali.
Vimelea vya Rotavirus huchangia kwa kiwango kikubwa katika magonjwa ya kuhara kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano...
Leo nilikuwa chooni nikatowa haja kubwa
Ambayo ilikuwa mgumu kutoka niliteseka saana kutowa sasa baada ya kutoka nika cheki kinyesi changu Nikaona damu ambayo ipo kwenye kenyesi haikuwa nyingi ni...
Salaam JF!
Nashukuru nimepona UTI kufuatia uzi fulani wa DR. MZIZIMKAVU wakati fulani akatufundisha kutibu fangasi wa aina zote kwa kutwanga kitunguu saumu na kukiweka kwenye kijiko cha chai na...
Habari wanajukwaa,
Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti.
Lakini...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi...
Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake.
Pamoja na hivyo wanaume na wanawake...
Ugonjwa wa Polio husababishwa na virusi vya Polio, ambavyo huenezwa kwa njia ya kula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya ugonjwa.
Ugonjwa huu unaweza kuwapata watu wa...
Nimeipata taarifa hii nikaona niwashirikishe WanaJF ambao wengi naamini hawajui.
"Wengi wetu tuna mazoea ya kunywa maji pindi tunapokuwa tunakula chakula. Lakini, Wataalamu wa Afya wanapinga...
Natumai wazima wadau. Naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha. Wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye.
Habari wana wa Jamii Forums
Mimi nimekuwa nikitatizwa na jambo moja ambalo linaniumiza sana kichwa. Mara nyengine nawaza labda ni kawaida kila mwanaume linamtokea
Mimi kila ninapokula chakula na...
Habari wakuu,
Naomba kujuzwa hivi watoa huduma za afya nchini Tanzania (doctors and nurses) walioajiriwa na wasioajriwa lakini wamesajiriwa na wana leseni za mabaraza yao (MCT & TNMC)
1. Je...
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.