omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf me naomba niwasilishe tatizo langu hua kuna tatizo la kuona kama ukungu linanitokeaga but linachukua wiki tatu mpaka mwezi , hua baada ya kuona ukungu kwa takriban dakika 10-15 macho yanakua sawa ila baada ya hapo naumwa kichwa mnoooo naomba mwenye kuhisi au kujua tatizo hili anisaidie kwa ushauri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app