Watu wa Mungu habari!
Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kati kati ya mgongo, nilihangaika sana kusaka tiba, ila mambo bado.
Tangu mwaka Jana nikaanza kuhusi maumivu ya mgongo...
Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu.
Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa huwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya...
Naomba kujua kama kuna pregnancy au laa. Observation baada ya kupima ni;
1. Mstari wenye rangi nyekundu iliyokolea
2. Mstari wenye rangi iliyofifia (unaonekana kwa mbali)
Habari za jumamosi ndugu zangu.
Nimekuja hapa kuomba msaada wa ugonjwa huu wa ngozi.
Uncle wangu ana hivi vipele mda sasa ila hakuwahi kusema miez miwili iliyopita alinionyesha..vipo kifuani...
Ni wazi kwamba sisi wanadamu tunapokula vyakula mbalimbali huwa tunapata virutubisho mbalimbali kama vile vitamini, protini, madini, nk kutoka katika vyakula hivyo. Je, hata wanyama nao...
Post-Exposure Prophylaxis au PEP ni njia inayotumika kumkinga mtu ili asipatwe na maambukizi mapya ya VVU baada ya kupitia mazingira hatarishi yanayoweza kumfanya aambukizwe.
Ni njia inayohusisha...
Nawasalimu na kuwatakia afya njema, naomba kujuzwa mzee wangu mwenye umri wa miaka 83 amepata hali ya kupoteza kumbukumbu hii haijitokezi mara kwa mara, anasahau mambo yanayotokea muda huu kama...
PrEP ni nini?
Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU.
Tangu Septemba 2015, WHO...
Habarini Wakuu, naomba msaada juu ya hili..Nina huyu Girlfriend wangu akiwa anakribia zile siku za kuingia mwezini wakati wa sex huwa anatoa maji mengi sana ambayo ni meupe kabisa kama maji.
Je...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada, aisee mi niko na tatizo hili na ni kubwa sana kwa sasa.
Nikiwa na safari kwa njia ya basi au gari za kawaida, nakua na hali kama ya kuvurugwa hivi, nakua...
Habari za kazi.
Napata maumivu chini ya kichwa cha uume kwenye mshipa wakati nakojoa.
Pia uume unatoa uchafu wenye rangi nyeupe...
Naomba mwenye ushauri juu ya hilo.
Habari
Naomba kuuliza kwa hapa Dar ni hospital gani binafsi nzuri ya mifupa ambapo doctor anapatikana kila siku kwa maana kuanzia jumaatatu hadi jumaamosi?
Asante.
Utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu Cha Muhimbili kwenye machinjio ya kuku ya Shekilango na Manzese umegundua uwepo wa kiwango kikubwa cha dawa za kuua bakteria ambazo wafugaji...
Je, Unafahamu juu ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture?
Tatizo hili lipo na Mara Nyingi linapotokea humuacha Muhusika katika sintofahamu na Asijue Cha Kufanya Kutokana na...
Poleni na majukumu ya kila siku kuna swala hapa nina mtoto uzito wake unaongezeka kwa kasi mpaka inafikia atua sasa nimeanza kuogopa anamiezi miwili na siku 20 lakini lakini Ana kilo 8.2kg...
Huwa najiuliza sana kwamba je kuna umri wa ukomo ambapo mwanamke kama hakupata mimba/mtoto hawezi kupata tenakadhalika kwa mwanaume kutungisha mimba? nauliza hili kwa sababu kuna ndugu yangu...
Jana Usiku niliinama chini kubeba kereti la soda, wakati nainama niliinama ki ubavu ili nilibebe kwa mkono mmoja maana lilikua tupu.
Wakati nainama sehemu ya ubavu wangu wa kulia kwa ndani...
Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu...
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada wa kiafya, mwezi wa 8 nilikumbwa na ugonjwa wa kuwashwa ambapo nilianza kuwashwa mikononi nilivyokuwa najikuna nilikuwa natoka na vipele nikaenda hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.