Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je...
2 Reactions
3 Replies
268 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo Mei 25, 2026, kimetoa mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za msingi kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa SAFARI, unaotumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Nimepata kikohozi pale mafua yalpoisha. Nisaidieni wakuu.
4 Reactions
10 Replies
212 Views
Ndio madokta, mnijuze na mnieleze, chunusi inatokana na nini kwa mwanaume? Na inaondolewa vipi au na dawa gani? Pia, nitajilinda/nitajikinga vipi, ili nisipatwe na chunusi? Au nifanye nini ili...
1 Reactions
9 Replies
187 Views
Anonymous
Kero yangu ni Kituo cha Afya Kinyerezi kinatoza pesa kwa watoto upande wa chanjo yaani matone kwa watoto miezi 9 wanalipia elfu 5 na sindano wanachomwa bure bila malipo wakati chanjo yoyote kwa...
1 Reactions
2 Replies
89 Views
BAWASIRI NI NINI? Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba au kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama au uvimbe ambao ndio huitwa bawasiri. Sababu kubwa...
1 Reactions
0 Replies
323 Views
Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Je, wajua kuwa kifafa cha mimba ni hali hatarishi inayoweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto ikiwa haitapatiwa matibabu kwa wakati? Dkt. Jofrey Marandu, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kike na...
5 Reactions
4 Replies
324 Views
Dkt. Erastus Sylvanus, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya amesema hawajapata malalamiko ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo kwa wingi na kwamba wale wenye...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
Wanabodi, Nikiwa member wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, nakuripotia live, kutoka ukumbi wa NIMRI, Ocean Rd, jijini Dar es Salaam, taarifa ya kikao kazi kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
EVIDENCE REPORT: THE "HEALTHY" FOODS QUIETLY DESTROYING YOUR BODY Source Video: The Diary Of A CEO — "The Sugar Doctor's WARNING: The 'Healthy' Foods Quietly Destroying Your Body! - Dr David...
0 Reactions
4 Replies
405 Views
Mayai ni chanzo kizuri sana cha protini yenye ubora wa juu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya kujenga na kurekebisha misuli. Virutubisho vya 'amino acids' vinavyopatikana kwenye mayai vinasaidia...
3 Reactions
3 Replies
215 Views
Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya...
9 Reactions
346 Replies
4K Views
Salaam wana JF Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili. Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde...
2 Reactions
164 Replies
61K Views
Katika ulimwengu wa kisasa wa lishe, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu ulaji wa wanga. Watu wengi, hasa watoa mada za mtandaoni na watu wenye ushawishi kwa kiasi kikubwa hutoa elimu inayopinga...
1 Reactions
53 Replies
821 Views
Msaada tafadhari jino linauma kweli,ukilitingisha linatingishika. Mwenye kujua dawa tafadhari anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
119 Views
  • Redirect
ugali ni useless food
4 Reactions
Replies
Views
Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba. Hili limekua tatizo la...
6 Reactions
91 Replies
14K Views
Dawa Ya Kukuza Upya Meno? Majaribio Yamepangwa Kuanza Kwa Dawa Ambayo Inaweza Kusaidia Katika Kukua Upya Wanasayansi duniani wanaendelea kufanya tafiti kubwa kuhusu teknolojia ya kukuza meno...
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Anonymous
Ni ukweli kwamba gharama zinazotajwa ili uweze kuonana na daktari hazijawahi kuwa za daktari na waala daktari hajawahi kuzipokea ila ni gharama ambazo zimewekwa ili kusaidia uendeshaji wa huduma...
2 Reactions
4 Replies
183 Views
Back
Top Bottom