Trouble sleeping?
Establish a routine to promote good sleep habits.
Set a bedtime and a waking time, and stick to them - even on weekends. This will help your body get used to a regular sleep...
Nimeitafuta sana huku ninapoishi Morogoro ila sijaipata.
Najua Dar es salaam ipo ila sijui ni wapi, naomba msaada wa duka kubwa hapo Daresalam ninapoweza kupata hii dawa. Nawasilisha.
Wana JF,
Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...
Sitamani afike umri...
Nimekuja hapa kupongeza, kwa kweli naishukuru Serikali ya Tanzania na Rais wetu mama Samia Suluhu.
Mama yangu anaumwa Saratani ya Kizazi, alipogundulika na hilo tatizo kwakweli kwenye familia...
PEP (Post - Exposure Prophylaxis) ni matibabu anayopewa mtu after been exposed to HIV ili kukukinga kuwa HIV positive.
Matibabu haya yanatakiwa kutolewa as soon as possible baada ya mtu kuwa...
Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za...
Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha...
Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini ya elektroliti.
Figo hufuatilia shinikizo la damu na pia kusaidia katika...
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za...
Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.
Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za...
Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa...
Nimekuwa nikimletea chakula apendavyo na huwa ananiagiza yeye,lakini matokeo yake unakuta hajala,ukimuuliza why haujala atakwambia nlipoikula kdg nilitapika.
Leo kaniagiza chapati, mandazi na...
Hayo amesema Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa wakati akizindua kampeni ya Jua Namba Yako, Mei 4, 2026, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokou - Toure, Jijini Mwanza.
Pia soma:
~ Kwanini...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”.
Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa...
Je, ni kweli kuwa Mwanaume akiwa anapiga Katerero anakuna kwa nje katika Kisimi na kupitisha Uume kwa nje katika Uke (pasipo kuingiza Uume ndani) sehemu za Siri za Mwanamke aliyeathirika kamwe au...
Nina mgonjwa wangu ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou-Toure (Mwanza), moja ya changamoto ambayo nimeishuhudia hapa ni kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme kukatika mara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.