Ukichunguza vizuri sio kwa ubaya wala majivuno utagundua watu wanaoishi kwakutegemea ngano na bidhaa zake kama chakula wana afya nzuri ya mwili na akili tofauti na mataifa yanayotegemea mahindi na...
Hi ni maalumu kwa wanawake wanaosumbuliwa na matatizo mbalimbali ya mifumo ya uzazi.
Kuhusu Wanaume nilishaandika Sana hapa.
Leo ninawapa mchanganyiko maalumu wa mimea tiba ambao inaweza kuponya...
Skip breakfast mchana kula kwa kiasi tena mchemsho mpaka kesho mchana tena
Achana na sukari mafuta pombe na vyakula vya kukaanga, yote kwa yote fasting ndio mpango mzima
Habari zenu ndugu zangu.
Mimi ni binti wa miaka 26, sijaolewa na Sina mtoto.
Mwaka Jana nilisumbuliwa sana uvimbe kwenye mayai mpaka ikapelekea kufanya upasuaji nikiwa na matumaini nimepona...
Naomba nielewesheni pole pole bila kunigombeza kwanini ndani ya siku 4 presha yangu imebadilika hivi? Je, hapa ndo mtu anakuwa tayari ni muhanga wa presha?
Sijaonana na daktari nimepima tu kujua...
Waungwana hamjambo?
Twende kwenye mada moja kwa moja . Kwa hivi karibuni nimefanya utafiti na kugundua kuwa watu wengi sana wanasumbuliwa na changamoto ya harufu mbaya kinywani sio Wanawake au...
😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia.
Faida zinazojulikana
Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika...
Kuna kamtindo cha baadhi ya watu kubeza wenzao kuhusu ugonjwa fulani ambao umemkuba au unamsumbua kwa sababu tu ya mambo ya ku view majambo ya dunia au ushabiki fulani, ikitoka kutofautiana huko...
Ilianza na kasehemu kadogo kuwasha then kuanza vipele vidogo, now vimekua kama kidonda ingawa ni kasehem kadogo ka uume, haviumi sana. Kuna dokta jiran nilimuonyesha nikamwambia last j'mosi...
Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026.
Nishatumia...
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa...
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.
Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye...
Ufafanuzi tafadhari, mama mkwe amekatwa ziwa kutokana ugonjwa huu hatari zaidi. Je huenda watoto wake nao wakawa na vimelea vya ugonjwa huu nianze tiba mapema?
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa...
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.