Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habar wakuu,ushauri wenu mim Nina miaka38 kwakipindi kirefu nlikua na changamoto ya nguvu zakiume kuwa ndogo wakat mwingine uume kushindwa kusimama wakati wa tendo, Sasa katika kuhaingaika sana...
14 Reactions
92 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais, Awali ya yote, tunakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuijenga nchi yetu, hususan katika kuboresha sekta ya afya. Sisi kama watumishi na wadau wa Hospitali ya Taifa...
3 Reactions
6 Replies
437 Views
Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
2 Reactions
21 Replies
298 Views
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu...
4 Reactions
20 Replies
404 Views
Habari wanajukwaa, Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HITILAFU YA UMEME KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU-TOURE Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye...
2 Reactions
4 Replies
435 Views
Kuna hii stori ambayo nimekuwa nikiisikia sana mtaani tangu nikiwa mdogo, eti "Ukipenda sana kula mayai, moyo wako utatanuka." Zamani tulikuwa tunaogopeshwa sana na hii kauli ya "moyo kutanuka,"...
1 Reactions
8 Replies
229 Views
Anonymous
Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini. Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini...
4 Reactions
9 Replies
176 Views
Watu wengi hudhani huduma ya kwanza ni kazi ya madaktari pekee. Lakini ukweli ni kwamba dakika za kwanza kabla ya hospitali kufika zinaweza kuamua maisha ya mtu. Fikiria hali hizi: 🔥 Mtoto...
2 Reactions
3 Replies
183 Views
Kutoa Harufu Mbaya Ukeni: Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi...
5 Reactions
29 Replies
9K Views
Nawaza makebo makubwa muda wote. Naanza kujihisi siko sawa. Je, naweza pata msaada gani kisaikolojia? Fikra zangu zimegeuka porno, pesa zangu zinaishia kwa milupo.
4 Reactions
6 Replies
139 Views
Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata...
3 Reactions
34 Replies
546 Views
Habari za asubuhi wanaJF, Nimekaa ktk mahusiano na mwanamke fulani mpaka sasa tuna miezi mitatu ila tangu tuanze mahusiano yetu tulikuwa tunatumia kondomu kusex. Siku moja mwenzangu tukiwa...
1 Reactions
77 Replies
120K Views
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Najua ushaona wagonjwa wa kansa wakiwa na vipara na ukadhani ni sehemu ya ugonjwa wenyewe. Basi sababu kuu ni matibabu ya kemotherapi ambayo huathiri seli zinazokua haraka mwilini, zikiwemo seli...
4 Reactions
8 Replies
287 Views
Anonymous
Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko mbalimbali yanayodaiwa kuwepo katika Hospitali ya St. Francis, Ifakara, hususan kuhusu mwenendo wa uongozi na athari zake kwa...
0 Reactions
2 Replies
110 Views
Katika maisha ya kila siku, ajali na dharura za kiafya zinaweza kutokea wakati wowote. Mtoto anaweza kuziba hewa akiwa anakula, mtu mzima anaweza kuzimia ghafla, au mtu akapata jeraha la kutokwa...
2 Reactions
1 Replies
145 Views
Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa...
24 Reactions
9K Replies
2M Views
Habari, Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC). Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Back
Top Bottom