Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari, Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC). Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni ugonjwa hatari wa mfumo wa uzazi wa mwanamke. Usipochukua hatua mapema, madhara yake yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa: 1️. Ugumba — Mirija ya uzazi...
1 Reactions
6 Replies
714 Views
Unapokwenda dukani kununua dawa ya meno ya kampuni yoyote ile hakikisha ina kiwango cha ubora huo wa madini ya fluoride 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto. Viwango hivi vya ubora...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Video fupi ya hatua ambazo mtu anapaswa kuzifuata ili kumsaidi amtu aliyepoteza fahamu kabla ya kumfikisha kwa wataalam wa afya kwa msaada zaidi. ANGALIZO Kulingana na wingi wa magonjwa nyakati...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma niliyoipata katika Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni wakati nilipompeleka mke wangu kujifungua. Tulipofika hospitalini...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Je, unaweza kutumia dawa za presha halafu ukikaa sawa ukaacha kutumia hizo dawa au ndio unatakiwa utumie maisha yako yote, hata kama kipindi ambacho umekaa sawa
2 Reactions
6 Replies
241 Views
Kwa wale wenye uhitaji na Habbat Soda au Black Seed Oil kwa lugha ya Kizungu wanaweza kuwasiliana nami kupitia ile namba yangu ile ile 0756419186 na yanaweza kukufikia popote ndani ya nchi hii...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Hospitali yake imeshiriki katika Kongamano la Mwaka lililoandaliwa na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA), lililofanyika leo...
0 Reactions
1 Replies
78 Views
Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda...
3 Reactions
4 Replies
9K Views
Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia. 1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe. .yaan epuka kuisukuma...
2 Reactions
5 Replies
239 Views
Acha kabisa mdau!! Si unajua jinsi jino linavyotaka sifa usiku? Pale ndo unaapa kabisa kuwa alfajiri utaamkia kwa Israeli mtoa meno. Siku ya Ijumaa niliamka Alfajiri na kujihimia moja ya Vituo...
10 Reactions
61 Replies
17K Views
Nasumbuliwa na tatizo linalojulikana kama ANAL FISSURE, Naomba wataalam mniambie tiba yake tafadhali
1 Reactions
7 Replies
168 Views
Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya. Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena. Siwezi maliza mwezi au miezi...
3 Reactions
26 Replies
375 Views
Anonymous
Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji...
1 Reactions
3 Replies
140 Views
Natumai hamjambo, nina tatizo la damu nyingi mwilini. Pia damu ni chafu, naomba maelekezo nini cha kufanya niweze kupunguza damu mwenyewe kabla sijaenda kuchangia. Ahsanteni. ===== UFUATILIAJI...
9 Reactions
51 Replies
837 Views
Habari za muda wakuu. Naomba msaada wa hii ninayopitia ya mwili unakuwa katika hali ya kupatwa na shock kama ya umeme hasa nikiinamisha kichwa. Hospitali wameniambia wakati mwingine h-pyori huwa...
1 Reactions
16 Replies
278 Views
Kwanza naomba nitoe pole kwenu nyote. Binafsi kwa sasa ninaishi mkoani Mtwara, ni muda mrefu sana nimehangaika kutafuta mtoto na mke wangu kwani mtoto wangu wa kwanza ana miaka 6, baada ya hapo...
1 Reactions
5 Replies
302 Views
Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo. Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu...
5 Reactions
78 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana Jamiiforum, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, nimeishi na tatizo la kujikojolea kitandani tangu utotoni hadi hivi sasa ambapo bado sijapona kwa 100% ila...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Back
Top Bottom