Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mratibu wa Huduma za Msingi za Macho kutoka Wizara ya Afya Visiwani Zanzibar, Dkt. Rajabu Mohamed Hilali amesema hadi kufikia Februari 1, 2024 watu 7 walikuwa wamepata upofu wa macho kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hbarin wakuu. Leo nataka nitoe elimi jins ya kujitibu nguvu za kiume nyumban kwako mwenyewe bureeeee kabisa.kwanza nianze na chanzo cha nguvu za kiume kupungua na mtu aliepungukiwa anakuaje ili...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
wakuu habari za muda huu, kuna mtu anaomba kusaidiwa direct phone number ya muuguzi yeyote alieko bugando au mawasiliano ya simu sababu kuna jambo anahitaji ufafanuzi na usaidizi, cas cd yake ya...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Habar wakuu msaada wenu tafadhali. Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024. Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa...
11 Reactions
129 Replies
6K Views
Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza, kuwa kuna mahusiano gani Kati ya maumivu ya kiuno na kufanya tendo la ndoa? Kwakuwa kuna mahali nlisikia mtu Kasema kiuno kinaniuma mwingine akamuambia ni ham ya tendo la ndoa...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje? Msaada wa mawazo kwenu wataalamu. === Pia soma: Njia...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukeketaji inayoadhimishwa kila Mwaka tarehe 6 Februari, hutoa fursa ya Wadau kuongeza Uelewa kwa Jamii kuhusu madhara ya vitendo hivyo pamoja na kusherekea...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao...
1 Reactions
1 Replies
619 Views
Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Na.Elimu ya Afya Kwa Umma. Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Faida za limao au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi...
6 Reactions
14 Replies
19K Views
Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya...
11 Reactions
16 Replies
38K Views
Wazazi,walezi tuwakumbushe binti zetu jambo hili. Kwa sasa ndoa nyingi sana zinapitia changamoto ya uzazi,hii ni kutokana mabinti wengi walitumia njia za uzazi wa mpango ama p2 kwa muda mrefu...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakati Atheists wanakiri hadharani kwamba akili zao zimeshindwa kuielewa dhana ambayo wao wameibatiza jina na ku iita " The problem or Evil" , Watu wanao amini kuhusu uwepo wa Mungu nao wana...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Ugonjwa redeyes ni ugonjwa hatari hatari hatari sana Yaani umenishika ndani ya wiki moja hakuna rangi nimeacha kuona. Nimenawa mikono mpaka nikawa mzungu ghafla Nauliza swali moja tu Serikali...
0 Reactions
3 Replies
576 Views
Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu. Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF. MBARIKIWE.
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Habar ndugu zangu, naomba msaada kwa anaefahamu dawa ya kuacha matumizi ya pombe
2 Reactions
34 Replies
4K Views
..
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…