Uhusiano Kati ya kiuno na tendo la ndoa

Jumanne Sinto

Member
Nov 7, 2019
14
1
Naombeni kuuliza, kuwa kuna mahusiano gani Kati ya maumivu ya kiuno na kufanya tendo la ndoa?

Kwakuwa kuna mahali nlisikia mtu Kasema kiuno kinaniuma mwingine akamuambia ni ham ya tendo la ndoa kwa mwanaume lakini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom