Ugonjwa redeyes ni ugonjwa hatari sana. Je, zipi athari zake?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Ugonjwa redeyes ni ugonjwa hatari hatari hatari sana

Yaani umenishika ndani ya wiki moja hakuna rangi nimeacha kuona.

Nimenawa mikono mpaka nikawa mzungu ghafla

Nauliza swali moja tu

Serikali ilitangaza ugongwa hauna dawa sawa tumevumilia umetupiga sasa nauliza je

Sideeffect za huu ugonjwa ni zipi?

Mimi nimepona leo lakini aise nimepatwa na UONI HAFIFU JE ili nalo halitibiki?

Kama ni kweli tujiandae kwa janga kubwa laja.
 
Huu ungonjwa sio mgeni, mi ulinipata 2014, from there huwa naona blur vitu vikiwa mbali, sijui ndo chanzo au vipi
 
Back
Top Bottom