BUGANDO HOSP AVAILABLE CONTACTS

buswagg

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
418
726
wakuu habari za muda huu, kuna mtu anaomba kusaidiwa direct phone number ya muuguzi yeyote alieko bugando au mawasiliano ya simu sababu kuna jambo anahitaji ufafanuzi na usaidizi, cas cd yake ya MRI imevunjika ghafla mtoto aliichezea akavunja na inahitajika hospital zingine ili wajue matibabu yake exactly na hayuko sawa kifedha kwa sasa manake MRI ni expensive sana bila bima,

me nilikua na namba ya dr flani shost angu alikua bugando ila hapatkani hata sjui namsaidiaje, kama upo bugando au una mawasiliano ya huko msaidie please, manake ametuma emails nyingi ila hazijibiwi , contacts from website haziiti na zikiita hazipokelewi, msaada please hata dm njoo, thanks wakuu
 
Back
Top Bottom