Kula udongo

kisasangwe

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
292
52
he nisaidieni, hii hamu ya kumumunya udongo inanizidi. sio mjamzito!!!!! maana mwaezasema ni mjamzito. Inatokea tu ninakua na hamu ya kula udongo.
Nifanyeje niiache?
 
Ni dalili kubwa ya ukosefu wa madini hasa ya chuma(iron defficiency)na mengineyo,pia minyoo inaweza kumsababisha akasikia kichefu chefu cha kula udongo,aidha yaweza kuwa najikumbushia enzi alivyokuwa mjamzito,au ameshindwa kuacha kwa kukumbukia ladha yake.yaweza kuwa ni katabia tu.vizuri apatiwe huduma ya daktari afanye vipimo sahihi na uhakika
 
Back
Top Bottom