Maumivu yatokanayo na Kutapika.

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wadau,
Wikiend iliyoisha nlikua Zanzibar kibiashara, na nlifanikiwa kufika salama tu.
Bahati mbaya nilikosa ndege wakati wa kurudi hivyo nikalazimika kuchukua boat.
Kwakua si mzoefu wa kusafiri nilitapika sana karibia safari nzima, na mpaka sasa misuli ya tumbo inauma kwelikweli!!
Yaani nikicheka au kuvuta pumzi kwa nguvu shida,
Nikaa yenyewe pia shida kwa nalibinya tumbo.
Kuna yeyote anaejua dawa ya kupunguza au kuondoa maumivu haya?
Maana too much sasa!!!
 
Kama hukutapika damu (Mallory-Weiss syndrome) ambayo husababishwa na kuchanika kwa njia ya chakula kooni (oesophagus) kutokana na kutapika sana, basi tumia tu dawa za kupunguza maumivu kwa siku 2 hadi 3, na utakuwa okey tu!
 
Sikutapika damu,
Ila tu nyama za misuli ndizo zinauma sana.
Dawa zipi sasa?
Ukweli sizijuagi sana dawa na matumizi yake,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom