maumivu ya korodani baada ya kudo!

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
wakuu heshima yenu!! nilishawahi kupost thread kama hii kipindi cha nyuma kidogo,nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya korodani baada ya kudo kwa mda mrefu sasa,nilifuata ushauri wote wa member niliopata hapa bila mafanikio,nimepitia vipimo na xray na majibu yameonesha cna tatizo lolote,katika kujiexamine mwenyewe niumekundua ya kwamba wakati nasikia maumivu sehemu ya juu ya korodani inatokea kitu ka uvimbe fulani ambacho uisha pindi maumivu yanapoisha,maumivu upungungua kiasi pindi ninapopata haja kubwa na tofauti na mwanzo ambapo maumivu yalikuwa kwa korodani la kulia lakini kwa sasa maumivu yameamia kwa korodani la kulia. je wakuu hii sio ngiri kweali? ikumbukwe maimivu haya yanadumu kwa kipindi ka cha masaa mawili hivi then yanapotea! Naombeni ushauri wakuu....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom