miyonzi v. computer na TV

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
943
368
wana JF naomba msaada wakuelimishwa kama nipo sahihi,mimini mtumiaji mkubwa wa computer-laptop katika masaa 24 naweza kutumia masaa 14 na laptop, sasa nahisi macho yanaweza kupata madhara hivyo nilinunua kile kioo cha computer lakini kwa sababu kazi zangu za kutoka sehemu mija hadi nyingne sikuweza kukitumia kwa sababu laptop ninayoitumia ni ndogo hivyo hata kwenye begi haikikai hivyo nimenunua miwani hizi za kawaida(kioo chake cheupe) ili kuzuia direct contact ya macho na mwanga wa laptop pamoja na tv,je hapo vp?
 
Back
Top Bottom