Natatizo la kusinzia popote muda wowote hasa ninapokuwa sina kishughuli chakuni ni fanya niwe buzy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natatizo la kusinzia popote muda wowote hasa ninapokuwa sina kishughuli chakuni ni fanya niwe buzy

Discussion in 'JF Doctor' started by cilla, Oct 12, 2011.

 1. c

  cilla JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Nataka kujua sababu inayonifanya nisinzie bila mpango.kitugani kina sababisha,na tiba ni nini.tatizo hili lilianza wakati nilipokuwa darasa la tatu,nikaanza kujikuta nasinzia wakati mwalimu anafundisha au kama darasa limepoa na ukimya,aunaweza kusinzia kwenye basi nakupitiliza kituo.nilifaulu darasa la saba tena kwa maksi za juu sana lakini nilipoenda sekondari nilipata shida sana kujisomea kitu kilicho sababisha kufeli.
  Ghafla nikaanza kujiona uwezo wangu wa kumbukumbu umepungua sio kama zamani nilikuwa nauwezo wakukumbuka vitu vingi kwa wakati mmoja.naomba mnisaidie kitaalam
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Try to keep yourself busy the whole day by having a planned timetable for each day.
  Polee, mwanzoni nilivyosoma thread yako Nilihisi ya kuwa wewe ni mjamzito
  .
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Jiweke bize kila wakati........!!!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  asipumzike?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  hebu jikague vyema kisha jiulize mimi ni mfu, msukule au mtu mzima?
  Kisha baada ya hapo unifuate.
   
 6. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako linaitwa Tripanosomiasis nenda hospitali utapata matibabu. Reference: Tripanosoma
   
 7. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Punguza kula sana Ugali ndugu yangu. Kuna jamaa alikuwa na tatizo hilo hilo enzi tukiwa shule, yani yeye akishatandika ugali, ni kusinzia tu popote pale alipo na kutokwa na miudenda. tukampa jina la miunga. unga->ugali
   
 8. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Una kitu kinaitwa uchovu sugu (chronic fatigue), mara nyingi hutokea ikiwa unapendelea kunywa vinywaji vyenye kaffeina, kaffeina hupatikana katika chai ya rangi, kahawa na vinywaji vingi vya viwandani. Kaffeina huulazimisha mwili kutumia hifadhi ya akiba ya nguvu (stored energy) na kukuacha wewe u mchovu kila mara, hizo ni dalili tu, tatizo lenyewe litafuata.

  Anza leo kila nusu saa kabla ya kula chakula chochote kunywa maji glasi 2 (500 ml) na kisha hesabu masaa 2 au 2 na nusu kila baada ya chakula na unywe tena glasi 1 ya maji. kunywa maji kabla ya kusikia kiu, usinywe maji ya baridi.

  maajabuyamaji2.artisteer.net
   
Loading...