Nina uvimbe kichwani kwa mda sasa tangu 2002 ambao nimeambiwa tumor baada ya kupiga xray, ila niliambiwa kuwa unatakiwa kukatwa ingawa cio mkubwa xana coz unakiwa taratibu xana some of the doctors...
mi nina swali ambalo nashindwa kulipatia uvumbuzi je unene au kuwa na mwili mkubwa ni afya au ugonjwa.kwa sab wengine wanasema flan ana mwili ana afya.na wengne kukonda wanaona ni kutokuwa na...
halo jf members!
Je hili tatizo la kutoka jasho usoni kupita kiasi husababishwa na nini?
natumai wenye taaluma zao watanidadavulia vizuri,thanks and welcome
KutapikaKutapika kwa kawaida ni dalili ya kuonyesha kuwa, kuna shida tumboni, umekula chakula kilichoharibika au una mafua.
Unapoumwa sana na kichwa na kupata shida zingine za kiafya, au uja...
habari. Jamani naombemlni msaada wa uelewa. Hivi hiyo dawa ni antibiotic, mwanangu anakohoa sana huwa nampa hiyo Alerid syrup sasa keshatumia cloxaciline naweza mpa na hiyo? katumia na ambrox...
Tafadhali bwana Dr. nisaidie.
Mtoto wetu ana umri wa Mwaka mmoja na miezi sita sasa hapendi kula chakula chochote zaidi ya kunyonya maziwa ya mama yake. Je kuna njia yeyote ya kumsaidia ili aweze...
It is popular in Japan today to drink water immediately after waking up every morning. Furthermore, scientific tests have proven a its value. We publish below a description of use of water...
Nina tatizo la ngozi ktk ngozi yangu ni la muda mrefu,nilikua natumia dawa kutoka kwa madaktari tofauti tofauti lakin sasa nimechoka hvo nahitaji dr bingwa wa magonjwa ya ngozi atakaemaliza tatizo...
habari zenu wana jf,nahitaji kujua na kupata ushauri wenu kwani katika sehemu yangu ya siri(uume)imekuwa ikitokwa na vipere vidogodogo jaman sasa nashindwa hata kuelewa nini hasa tatizo...
James Magai
RIPOTI ya uchunguzi wa sakata la kudungwa sindano tata mtoto Imran Mwerangi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imekamilika na tayari imepelekwa Wizara ya Afya na Ustawi wa...
jamani naomba msaada wenu,maana mwenzenu nilikuwa najisaidia sana choo kigumu hadi nikapata mpasuko katika sehemu ya haja kubwa,nilielekezwa kutumia vidonge vya ANUS but ilinisaidia tu kukata...
Nategemea kuoa hivi karibuni lakini sharti la kwanza nimeambiwa nikapime ukimwi,ukweli naogopa sana na kila wakati nikifikilia hilo jambo la upimaji,mpenzi wangu amegoma kushirikiana na mimi mpaka...
It's long but very true
We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our mouths. It's not as easy as you think. It's important to know how and when to...
Habarini wapendwa?
hebu naomba mnijuze kwenye hili..............
Hivi kwa mama (mzazi) aliyeathirika na gonjwa la ukimwi ni salama kweli kwa mtoto kunyonya kwenye ziwa lake?
Na kama sio basi...
msaada p'se for a friend of mine:
Alikuwa na mimba ikiwa imefikasha miezi 5 alisitisha tendo la ndoa, mwaka umeisha sasa kajifungua, mtoto anamiezi mitatu juzi ameshiriki tendo la ndoa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.