Chips na nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chips na nguvu za kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by Makambuya, Feb 18, 2012.

 1. M

  Makambuya Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mwenye uthibitisho jamani, je kuna ukweli wowote kuwa ulaji wa chips unasababisha upungufu wa nguvu zakiume?
   
 2. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kwn znaongeza nyege kwa wanawake ka uhamin tumia!

  Mwanaume akitumia unakuwa unapeleka mambo anticlokwiz.
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  dogo nguvu kama huna huna tu, mtasingizia chips na mayai mbona mimi nakula na nguvu bado ipo :biggrin:
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Naona tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume linaanza kuwa janga la kitaifa!

  Kila siku humu hakukosi mtu kurusha sredi inayoongelea upungufu wa hizo nguvu :lol:
   
 5. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kwanini hizi nguvu siku hizi zimekua gumzo?
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  usiogope hapo wame relate kushindwa kushiba kwa mwanaume akila chips in relation na full force ya the thing to keep it up and firm for long. lolz
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vijana wananza sex toka wame baleghee sa unafikiria wataenda miaka mingapi...afu wengine wana fanya sex kama sifa yani akimpata mwanamke mpaa ampige vinane au tisa kwa siku ndo anajiona dume sa wakisha anza kufika kwenye 40+ wanasingizia vyakula :biggrin:
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sioni uhusiano uliopo hapo kati ya chips na nguvu za kiume
   
 9. Jt jr

  Jt jr Senior Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mimi ckushauri kula kila mara ingawa hazipunguzi nguvu za kiume ila kumbuka ukishiba vizuri hata ukicheza mechi inachezeka fresh sasa kiepe utashiba saa ngapi na hata ukishiba hesabu dakika kusikia njaa!
   
 10. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Duh!, halafu leo mchana nimekula chips
   
 11. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni kweli b'coz of mafuta mengi utayala(co mafuta ya asili)
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kama we mwanamke nitafute endapo mpenzi wako hakufikishi
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Dah!hatimae na chips zawa mchawi wa kupunguza nguvu za kiume!jf ni zaidi ya niijuavyo lol!
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Sababu Kuu 9 za upungufu wa nguvu za kiume

  Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
  1.ubugiaji wa tumbaku .
  2.uvutaji wa sigara.
  3.utafunaji wa mirungi.
  4.unywaji wa pombe.
  5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
  6.ugonjwa wa kisukari.
  7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Kupiga Punyeto)
  8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
  9.kufanya kazi ngumu.

  TIBA YAKE:

  chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.

  DAWA YA NGUVU ZA KIUME KWA MWENYE KUTAKA BONYEZAHAPA.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3340821
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzizi Mkavu , watu kwenye familia yako
  wanaumwaga kweli ? Maana unatiba na unaadawa yako ya kuzuia magonjwa ..

  Je we ni mganga wa Jadi ?
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Asante bibie afrodenzi mimi sio Mganga wa jadi mimi ni Herbalist Mtaalamu na Mchunguzi wa Dawa za asili za mitishamba.katika familia yangu wapo wanaumwa na huwa nawapa ushauri wa kutumia dawa za mitishamba na wengi

  wao wamepona, mimi nina kipaji cha dawa za mitishamba na huwa napendelea sana kufanya utafiti kivyangu kuhusu dawa za mitishamba. Kusema ukweli Dawa za mitishamba hazina madhara kwa afya ya binadamu kwa Asilimia 100. Dawa za kizungu yaani Vidonge zinatibu na

  kukupa madhara mwilini mwako huwa siziamini sana ingawa natumia baadhi ya dawa kama pain killer lakini sizipendi sana huwa mimi ninapo amka asubuhi kabla ya kula kitu nachemsha maji ya Uvuguvugu (warm water) glasi moja na kuchanganya kijiko kimoja cha Asali

  mbichi safi kila siku huwa nakunywa asubuhi hiyo ni kinga na ni dawa kubwa ya kusafisha Mafuta ndani ya mwili n akuondowa maradhi yaliyo tumboni mwa binadamu. na baada ya hapo huwa nakula kila siku chungwa moja,Tango moja,tunda la tufaha moja (Apple) na kuna

  tunda huku nilipo linaitwa tunda la kiwi kisha ndio naweza kula chakula cha kawaida huo ndio utaritibu wangu wa kila siku. na kabla ya kulala huwa napenda kuramba kijiko kimoja cha asali inasaidia kusafisha ini na figo. huo ndio ushauri wangu kama mtu akifanya hivyo basi maradhi mengi yatamuondokea inshallah..
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Why Have
  Warm Water
  in the
  Morning?
  by Barb Shelton
  who points to and expounds on
  the wisdom of...
  Dr. Raymond Moore


  In some of my various writings, I have mentioned having a tall glass of warm water first thing in the morning. This is something I found out about many years ago ~ around 1982 ~ from "THE BOOK" that changed my life and turned me from not wanting to have a thing to do with homeschooling to not only wanting to do it, but to actually believing in it, and that it was the BEST choice for my children! The book? Home Grown Kids by Dr. Raymond and Dorothy Moore!


  Here's a quote regarding "warm water in the morning" that appears on page 113 of Home Grown Kids:

  [TABLE="width: 84%"]
  [TR]
  [TD="width: 100%"] "The first-thing-in-the-morning drink [of water] ~ preferably warm ~ flushes out the kidneys, prepares the stomach for food by stimulating the glands on its walls, and helps the bowels move regularly and naturally. This ritual has been a real lifesaver for many families, usually making illness minor and rare."
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  So let me re-write ~ in numerical annotation ~ the three benefits of tha
  t "first-thing-in-the-morning, preferably warm drink of water. It:

  1) flushes out the kidneys

  2) prepares the stomach for food by stimulating the glands on its walls

  3) helps the bowels move regularly and naturally  I also remember Dr. Moore saying more about this in person, which I would have heard at one of the several times I was privileged to hear him speak. (Once, waaaay early on, probably 19 years ago!), was in someone's home; another was at their business, another couple were at conferences, another was when I interviewed him (on video) for a High School resources video I made, and another was here in Longview once.) What I remember was him saying was that the water, to be easiest on the digestive system, should be fairly warm; anywhere between body temp and "pretty warm, but not hot." Not cold, so the body isn't shocked by getting such a huge dose of cold water, and so that it doesn't have to warm it up.

  He also said that this is "the best regulator" and that usually within an hour you will be "eliminating." Something he says on page 47 makes that all the more desirable:


  [TABLE="width: 86%"]
  [TR]
  [TD="width: 100%"] "The longer food remains in the intestines, the more likely it is to begin to decay rather than to be promptly dispatched by normal digestive processes. This and the likelihood of intestinal impaction or hard bowel movements raise the chances for disease and often contribute to intestinal fistulas or hemorrhoids."
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Some have asked, "But does it really work?" And I can personally say that "Yes it does!!!" Of course, there will never be any way of knowing just how much better off I am, but I know that I like the "getting cleaned out" feeling it produces. (For me, it might be up to a couple of hours later.)

  And then back on page 113 again, there are a few more healthful tips pertaining to the matter of water and health...

  [TABLE="width: 85%"]
  [TR]
  [TD="width: 100%"] "Cleansing the body internally is equally important. (He had been talking about cleansing it *externally.*) Fruit juice or the water in our foods does not adequately replace plain, clear water."

  "Children should be taught early to enjoy drinking plentiful amounts of water, never [the plentiful amounts] with meals, but often between meals, beginning a half hour or more before breakfast. Water at mealtime dilutes the gastric juices and slows digestion."

  "A drink of cool water ~ not cold ~ is the best method of staving off hunger until meal time, since it depresses the activity of the digestive system."

  "Very cold, or very hot drinks are not usually good for the digestive system at any time. When they vary too greatly from body temperatures, they may cause shock to the system. Dentists warn against very cold food or liquids on the teeth. Physicians note that those who are habituated to very hot drinks are more likely to develop throat cancer and digestive difficulties."

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  In closing, I just want to mention a little "spice o' life" tidbit... I have a certain glass I use for my "warm water in morning"! [​IMG] A very pretty one I got just for this purpose! I don't measure my water; I have just found that "eight to ten gulps" is what works best for me. If you've never done this before, that much warm water might feel a bit nauseating at first, but when you start seeing (feeling?) the results, you know it's worth it! And after time, you DO get used to it.

  I love the feeling of knowing I am taking better care of my "temple of the Holy Spirit." Borrowing a concept from Proverbs 31:12 where it talks about a wife doing her husband good and not evil all the days of her life, I also love knowing that I am "doing my own body good and not evil all the mornings of my life"! [​IMG]

   
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  panapofuka moshi....... Idadi ya wanaume inapungua kila siku. Turudishe utamaduni wetu wa mitala maana watu siku hizi anajidai ana mke mmoja aafu kazaa na wanawake wengine sita. Kazi kweli kweli
   
 19. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  ndo make siku kila hatua 2 unakutana na bango dokta nan sijua anarudisha network, na kila dokta anajaza.
   
 20. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisaaa na ninaunga mkono hoja 800%.
  Je ni uthibitisho upi mnao utaka.Kusoma hamjui hata kufananisha rangi nako mnashindwa??
  
   
Loading...