Mtoto hapendi chakula chochote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto hapendi chakula chochote

Discussion in 'JF Doctor' started by Akthoo, Feb 21, 2012.

 1. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Tafadhali bwana Dr. nisaidie.
  Mtoto wetu ana umri wa Mwaka mmoja na miezi sita sasa hapendi kula chakula chochote zaidi ya kunyonya maziwa ya mama yake. Je kuna njia yeyote ya kumsaidia ili aweze kula kwa sababu hata ukuaji wake (uzito) sasa umekuwa taratibu mno.
   
 2. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mpatie bits & pitches. Mtoto wa dada alikuwa ivo ivo but kapona kbsa.
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  inapatikana wapi?
   
 4. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Sivielewi vitu hivyo; na vinapatikana wapi? Tafadhali fafanua!
   
 5. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ni tiba kupitia matunda ya peaches na imeongezwa vitamin A.ina ladha nzuri sana watoto wanaipenda sana.imekua packed katika kidumu kidogo cheupe. Izi bidhaa tunatumia sana na familia yangu.0765377506 wasiliana na uyo kaka! Ndo yuko kwenye iyo kampuni. Yeye ndo alitusaidia.
   
 6. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Chakula jamani ndiyo dawa aina ya kwanza, pamoja na multivit lakini hakikisha anakula hata kwa lazima baadaye atapenda,pia mbadilishie aina ya chakula kila wakati ila zingatia balance diet. Watoto wanapenda sana pipi biskut na vitamu vingine na wanaishia kufutuka hiyo si afya bora
   
Loading...