Je mwanya ni kilema?

TaiJike

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
1,483
666
WanaJF na JF Dr.
Kila kiungo cha mwanadamu ambacho kiko tofauti kinajulikana kama kilema, swali langu je mwanya (nafasi kati ya meno) nao ni kilema?
 
Sidhani kama mwanya ni kilema hasa ukizingatia kuwa haumzuii muhusika kutenda yale yatendwao na wasio na mwanya? Kama ni hivyo watu wengi sana wana 'vilema' maana maumbile yanatofautiana kutoka mwanadamu mmoja mpaka mwingine. Vipi kuhusu kipara?

Btw, ni nafasi kiasi gani kati ya jino na jino tunaweza kuiita mwanya? - maana ni kawaida kuwapo na nafasi kati ya jino na jino (hence the 'teeth picks'!).
 
SMU, kipara ni upungufu wa madini fulani mwilini hivo husababisha upungufu wa nywele. kuhusu mwanya nadhani ni ulemavu nao kwanini wengi meno yameshikana bila gape lakini baadhi kuna hiyo gape ndo mana niona nije na swali ili nifunguliwe macho.
 
yawezekana ikawa ni kilema maana wengine wanakuwa na mwanya mkubwa mpaka unaweza ukadhani ni pengo
 
WanaJF na JF Dr.
Kila kiungo cha mwanadamu ambacho kiko tofauti kinajulikana kama kilema, swali langu je mwanya (nafasi kati ya meno) nao ni kilema?

Mwanya NI KILEMA , NA YAPO MATIBABU YAKE

Umesha wahi ona europians wenye Mwanya????

HULITIBU TATIZO HILI MAPEMA
 
ndo mana nikasema kuwa ni dental disorder.. Wazungu ndo wanaita hivo. Africans tunasema mwanya ni urembo.
 
Mwanya NI KILEMA , NA YAPO MATIBABU YAKE

Umesha wahi ona europians wenye Mwanya????

HULITIBU TATIZO HILI MAPEMA

Asante sana mkuu. Je nawezaje pata matibabu yake ni nina mwanya wa juu ingawa si mkubwa sana lakini huninyima raha ya kucheka. Kwa EA wanaweza nisaidia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom