Nahitaji msaada wenu jamani!!

silent

Member
Feb 22, 2012
6
0
habari zenu wana jf,nahitaji kujua na kupata ushauri wenu kwani katika sehemu yangu ya siri(uume)imekuwa ikitokwa na vipere vidogodogo jaman sasa nashindwa hata kuelewa nini hasa tatizo ukizingatia hivyo vipere haviwashi wala kuivaaa
 
Siwezi Kukushauri tiba bila kujua chanzo. Usione aibu nenda hosptal kamweleze dk. Kinaga ubaga. Utapimwa na kupewa tiba. Usipopata na fuu ndo initafute. But hosptal kwanza usilete mchezo na ikulu mdogo wangu act fast.
 
Back
Top Bottom