yaani apo kwisha habari yetu kabisa mlikwisha tuumaliza! Kwa miaka yote tunatumia baadhi ya hayo madawa kumbe ni sumu!, kuanzia leo mimi na mitishamba na tiba mbadala tuu full stop![/QUOTE]
Hapo penye red ni pazuri lkn napo tuwe waangalifu, kwani matapeli siku hizi nao ni wengi sana.