kunyonyesha kwa mama muathirika

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
797
Habarini wapendwa?

hebu naomba mnijuze kwenye hili..............

Hivi kwa mama (mzazi) aliyeathirika na gonjwa la ukimwi ni salama kweli kwa mtoto kunyonya kwenye ziwa lake?
Na kama sio basi, afanyaje ili aweze kumpatia mwanae chakula yake (maziwa)?
 
EBF= Exclusive Breast Feeding,ni njia mojawapo inayoshauriwa kwa kinamama sero+ve.
Katika hili mama anashauriwa kutompa kitu chochote mtoto zaidi ya maziwa yake na dawa atakazoshauriwa kitaalam kwa miezi 6 za mwanzo.
Baada ya miezi hiyo mama anashauriwa kumwachisha ziwa mtoto na kumwanzishia lishe mbadala.
Akizingatia utaratibu huu na mwingine atakaoshauriwa kituoni uwezekano wa kumwambukiza mtoto kwa njia hii utadhibitika.
 
Back
Top Bottom