uvimbe kichwan (osteoma)

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Nina uvimbe kichwani kwa mda sasa tangu 2002 ambao nimeambiwa tumor baada ya kupiga xray, ila niliambiwa kuwa unatakiwa kukatwa ingawa cio mkubwa xana coz unakiwa taratibu xana some of the doctors wamenishauri niuache tu coz hauna pain yeyote zaidi ya kichwa kuuma for sometime,,
Swali langu hapa je nikipata mtoto hawezi kuwa affected na hili or alihusiani?? Any doctor plizz
 
Wewe tafuta second opinion, kama unapesa tinga India. Si kitu ya kubargain na doctor.
 
Pole sana bface ,kwa kawaida osteoma ni aina ya benign tumor yani ni tumor ambayo haiwezi kusambaa(metastasis) pale ilipo haiwezi kula zaidi, na hiyo inaweza kuwa imesababishwa na infection ila causes haijulikani sana, kwa upande wangu sidhani kama mtoto wako ataipita , kwasabu inategemea na kisabishi kama kama ikiwa gene za autochromosome zimebeba tatizo basi uwezekana upo lakini ni mdogo sana kwa sababu mpaka hiyo gene ibahatishe kwenda kukutana na gene za mkeo na pia lazima iwe dominant vinginevyo mkeo naye awe na tatizo. Kwa ujumla mtoto wako kupata tatizo ni vigumu sana . Hilo tatizo lako siyo malignant cancer amboyo ni hatari inasambaa mwilini,
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu,, nmekupata
 
mmhh inategemea na mazingira au tabia ambazo mtoto wako atakuwa anaziishi kama vile kutokula vyakula vya asili,kupiga mionzi mara kwa mara n.k.kama akiishi katika hayo mazingira niliyokwambia basi anahatari ya kupata huo uvimbe[TUMOUR] Ila si lazima apate uvimbe kama ulioupata wewe[osteoma] anaweza akapata sehemu yeyote ile katika mwili wake.
 
Back
Top Bottom