Nahitaji tiba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji tiba.

Discussion in 'JF Doctor' started by Twaps, Feb 21, 2012.

 1. Twaps

  Twaps Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Nina tatizo la ngozi ktk ngozi yangu ni la muda mrefu,nilikua natumia dawa kutoka kwa madaktari tofauti tofauti lakin sasa nimechoka hvo nahitaji dr bingwa wa magonjwa ya ngozi atakaemaliza tatizo langu.Nipo Dar es salaam hvo yeyote anyefahamu dr bingwa wa ngozi anipe mwongozo nikamwone ili roho yangu itulie.Mbarikiwe
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Dermatologist nenda muhimbili nitakutafutia contact yake
   
 3. Twaps

  Twaps Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  nitafutie contact basi unajua kwela pale napo bila contacts naweza kukutana na madaktari niliowazoea huku kitaa
   
 4. L

  Lady G JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nenda Tegeta ulizia Dispensary/Hospt ya mission ni ya masister wanatibu ugonjwa wa ngozi na fungus sugu.
   
 5. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Dr Lijah 0784284146 ni Dermatologist wasiliana naye.
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Usipuuze mkuu huyu ni bingwa wa masuala haya, kwa sasa yupo wizarani. Mpigie.
  Ni PM nikuelekeze namna nyingine.
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  safi wakuu
   
 8. Twaps

  Twaps Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  thanx nakupm mkuu
   
Loading...